26/07/2023
Mwanzoni kabisa Wakati Tetesi Zinatoka Simba Kuwa Sakho Anahitajika huko UGAIBUNI Simba Waliamua Kuliamsha Upya Dili la Luis Jose Miquissone.
Kumbuka Sakho Ameuzwa Kiasi Cha Bilioni Mbili Na point Moja (2.1TSH)
Kwa Hesabu Ya Kawaida Hapa Mshahara Wa Luis Ni Milioni thelalthini na Nne (34MTSH) Kwa Mwezi.
Kwa Miaka MATATU aliye Saini Huyu Mwamba Atakuwa Amelipwa Kiasi cha TSH Bilioni Moja Points kadhaa.
Hivyo Luis ANAISHI na Fedha Za Mauzo Ya Papeh Osman Sakho Ambaye Ametimkia Ufaransa. Biashara Ni Akili