IvaN

IvaN Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from IvaN, TV/Movie Award, oceanic road, .

  President of
25/01/2019

President of

Bland New Song Kutoka Kwa home Boy   😋😋
28/09/2018

Bland New Song Kutoka Kwa home Boy 😋😋

Na nukuu Maneno yake busara zake alikuwa Mtu wa watu uyu mtu nuru aina mwanga mbele kizaa rafiki niliyompenda amenitoka...
07/06/2018

Na nukuu Maneno yake busara zake alikuwa Mtu wa watu uyu mtu nuru aina mwanga mbele kizaa rafiki niliyompenda amenitoka😭😭 Umenisii Sana maisha aya nisiwaseme watu kwa Mbaya k**a masihara umerudi zako kwa mola nenda me nipo kwenye msafara😭😭

09/05/2018

Ilikuwa ni mida ya mchana ambapo kijana aliingia ndani ya bus tayali kwaajili ya kufanya safari kuelekea nyumbani akitokea mji wa pili.
Lakini kabla bus halijaondoka ghafla alikuja kichaa na kumnyooshea kidole kijana huku akisema "WE KICHAA SHUKA CHINI"
Abiria wote waliokuwemo ndani ya bus walishangaa na kuangua kicheko kuona chizi anamwita mtu mweye akili timam KICHAA
Baada ya vicheko kutulia kichaa akarudi tena k**a kwaida yake akamnyoshea kidole kijana na kurudia maneno yake yaleyale "WE KICHAA SHUKA CHINI"
Kwa mara yingine watu wakacheka huku wengine wakianza kukasirika.
Abiria wakiwa wamenea ndani ya bus na dereva anafunga mkanda kwaajili ya kuanza safari kichaa akarudi kwa mara ya tatu na kusema "NIMESEMA WEWE KICHAA USHUKE CHINI LA SIVYO NAKUSHUSHA MWENYEWE"
Mara hii abiria walikasirika na kuanza kumshambulia kijana kwa maneno huku wakisema "Huyo kichaa unajuana naye na ww ndo sababu ya huyo kichaa kutupigisha kelele hapa"
Kwa hasira kijana akashuka ndani ya bus ili kumuadhibu yule kichaa ile anafika chini mara hamuoni tena kichaa na hajui wapi alipoelekea
Huku nyuma bus likaanza safari na kumuacha kijana palepale kituoni ambapo alisubiri bus lingine linalopita njia ile bila mafanikio.
Baadae kijana akabahatika kupanda bus lingine ambalo lenyewe lilikuwa linapita njia nyingine tofauti na ile ambayo bus la kwanza lilipita
lakini njia zote zikiwa zinaelekea sehem moja.
Kijana alifika nyumbani kwa kuchelewa na akajilaumu kwamba angesafiri na bus alilopanda mwanzo angefika mapema.
Huku akijua aliyemsababishia kuchelewa ni yule kichaa.
Usiku akiwa anaangalia taarifa ya habari likaoneshwa lile basi alilopanda mwanzo likiwa limepata ajali mbaya ya kuungua moto na taarifa zikisema hakuna mtu hata mmoja aliyesalimika kutoka ndani ya basi hilo(wote wamefari dunia)
Kijana akatokwa na machoz kisha akapiga magoti na kumshukuru Mungu kwa kumtumia maraika waliomuepusha na kifo kupitia kwa kichaa.
-------------------------------------------------------------------
MAOMBI :
Mwenyezi Mungu akutumie maraika wake wakakulinde na kukuepusha dhidi ya mabaya yote yanayopangwa na shetani katika maisha yako.

Sijui Nilikuwa Nafanya Nini Apa.....
07/05/2018

Sijui Nilikuwa Nafanya Nini Apa.....

ZOmbie Mwenye Sura Mzuri Nami Nilikuwepo Pale C Park Club Kwenye ile   Party Ya Mtoto Mzuri
07/05/2018

ZOmbie Mwenye Sura Mzuri Nami Nilikuwepo Pale C Park Club Kwenye ile Party Ya Mtoto Mzuri

Sometimes.....
01/05/2018

Sometimes.....

Hii ni moja Ya Kazi Mzuri iliyobaki Ni Support Yenu tu
27/12/2017

Hii ni moja Ya Kazi Mzuri
iliyobaki Ni Support Yenu tu

Haya haya Wapenzi Wa Burudani ...Baada ya Mechi ya Simba Na Yanga  Watu Wote Tutaelekea kuleee Kigamboninooo CLUB KAKALA...
25/10/2017

Haya haya Wapenzi Wa Burudani ...Baada ya Mechi ya Simba Na Yanga Watu Wote Tutaelekea kuleee Kigamboninooo CLUB KAKALA Utamkuta Mkali Wao Wa Singeli Akitambulisha Wimbo Wake Nakutuuliza Utatoa Utoi Balaaa lote Litakuwa hukoo Na Appearance Atasimama Mrembo Kutoka Bongo Movie Na HB Unakosaje Kwa Mfano Na Suprise Kibaooooo Kwa Mtonyo Wa Buku 6000/=Tu Jmoc Tar 28

MORE LIFE kwako Mamucious Mkude
19/10/2017

MORE LIFE kwako Mamucious Mkude

MORE LIFE Kwako ndugu yangu
18/10/2017

MORE LIFE Kwako ndugu yangu

Address

Oceanic Road

254

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IvaN posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Event/venue?

Share