Masogora Viwanjani

Masogora Viwanjani Sports page Wich support local games

Hatimae mikwara ya vibwanga fc na panama yafika kikomo hii latarajiwa kushuudiwa jumapili hii 29/10/23 ambapo watakutana...
23/10/2023

Hatimae mikwara ya vibwanga fc na panama yafika kikomo hii latarajiwa kushuudiwa jumapili hii 29/10/23 ambapo watakutana kunye mtinange wa final ya kitaka searching talent katika uga wa mwahiima stadium ardhi ya Likoni mengi yame sema kuusi timu hizi mbili kunawale wanao sema panama ndio wababe na wale wanao sema vibwanga ndio vichwa jiunge nami tupate kujua nani sogora Kati Yao

14/10/2023 sabaki motors peace cup Gazab fc v paranja fc Kisha jumapili vibwanga fc v veczula fc
13/10/2023

14/10/2023 sabaki motors peace cup Gazab fc v paranja fc Kisha jumapili vibwanga fc v veczula fc

18/09/2023
Vipaji vikumbatiwe vijana wacheze mashabiki wapate burudani
25/08/2023

Vipaji vikumbatiwe vijana wacheze mashabiki wapate burudani

Itokeze upate uondo
10/08/2023

Itokeze upate uondo

Kitaka searching talent nikubaya draw imetolewa ya michuano ya nusu final ambapo miamba ya kibundani shikadabu wanao fam...
10/08/2023

Kitaka searching talent nikubaya draw imetolewa ya michuano ya nusu final ambapo miamba ya kibundani shikadabu wanao famika K**a panama fc watakutana na vigogo wa Bofu ward Bomani youth alafu As Milani ya vijiweni shikaadabu waalike vibwanga fc michuano hii ilionoga utamu inadhaminiwa na mfanyabiasha alafu pia muwaniaji kiti Cha wenyekiti wa Cha UDA Mombasa Ali Hamisi kitaka itatikisa vichwa vya mashabiki wikendi ya tarehe 20/08/23 ili kutafuta atakae fuzu final

Denmark yakubali kuwa kitivo fc ndio wababe kwenye kusakata kabumbu. Hili limethitika ivi majuzi kwenye mtinange wa fina...
20/07/2023

Denmark yakubali kuwa kitivo fc ndio wababe kwenye kusakata kabumbu. Hili limethitika ivi majuzi kwenye mtinange wa final ulidhamini na m,wakilishi wa k**e ktk gatuzi la kwale bi. Fatuma masito baada ya Den kunyukwa bakoro moja kwa yai bao ilo la kipekee lilitiwa kambani na mshambuliaji nguli ajulikanae K**a Zakaria mwakisua kunako dakika ya saba ya mchozo kutokana na ueledi wa hali ya juu wakionye kitivo walitwikwa taji pamoja na zaidi ya laki moja pesa taslimu mbele ya mashaidi walishuudia wakiongozwa na Gavana wa gatuzi ilo la kwale bi Fatuma Achani ambae aliwapongeza kwa kiwango chao Cha hali ya juu Cha mchezo walicho kionyesha. Final hii ilichezwa ktk uga wa kasemeni aridhi ya tiwi chini ya usimamizi wa mkao unaongozwa na muandishi bwana Mwapea.

Fika upAte burudAni
02/07/2023

Fika upAte burudAni

13/06/2023
Kishaeleweka kuwa veczulla ndio wababe kwenye kinyang'anyiro Cha Dada Skukuu almaaeufu shishi fashion cup. Juzi jumamosi...
13/06/2023

Kishaeleweka kuwa veczulla ndio wababe kwenye kinyang'anyiro Cha Dada Skukuu almaaeufu shishi fashion cup. Juzi jumamosi 10/06/23 mashabiki walijitokeza walishuudia veczulla fc wakitwikwa taji la shisi fashion baada ya kuwabwaga kitaka fc kwa goal moja nunge na kuondoka na zawadi kocho kocho pamoja na pesa takriban 50000 kutoka kwa wageni walio ungana na shishi kuinua vipaka mashinani.

Jitokeze upate burudani
07/06/2023

Jitokeze upate burudani

Washikadau wapania kupeleka soka mbele katika gatuzi la kwale. Muwakilishi wa kina mama na vijana katika gatuzi la kwale...
13/04/2023

Washikadau wapania kupeleka soka mbele katika gatuzi la kwale. Muwakilishi wa kina mama na vijana katika gatuzi la kwale amewaadi wakufunzi ,wachezaji pamoja na mashabiki wa soka kwale kuwa atajizatiti kuakikisha anaipandisha talanta ya mtoto wa kwale. Aidha amewaomba vijana kujiepusha na miadarati badala yake washiriki mchezo uo ili kufanikisha malengo. Ni yapi maoni yako kutoka na usimi huu wa bi. Fatuma masito.

Address

Likoni

Telephone

+254719399512

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masogora Viwanjani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Masogora Viwanjani:

Share

Category