Embu Satellite 14

Embu Satellite 14 News to Everyone who knows Embu
(2)

19/09/2025
Classic
17/09/2025

Classic

Luckyyy
17/09/2025

Luckyyy

Weak mindset
17/09/2025

Weak mindset

30/07/2024

My wife and I had an issue this morning before we left for work. It was a small misunderstanding between me and her.

We were both angry with each other. From my facial expression, my wife knew I was very prepared to keep malice with her.. She was also angry and didn't mind playing along.

I stepped out of the house and she locked the doors and followed me behind. Since we don't have a car, we always board the same bus to work every morning and ensure we sit together- side by side on the bus.

I was to drop at Muthaiga and she was to drop at Utalii

But today, I didn't want to sit close to her. So I sat at the back seat and she sat in front, just beside a good-looking Police officer.

The man glanced at my wife. I saw the way he looked at her hair and face with so much admiration. Then he told her she looked beautiful. My wife smiled and told him thank you.

He asked my wife where she was going and she told him she was heading to work.

All this while, I was sitting behind and listening to their conversation.

"My name is Sergeant Korir. I am a police officer as you can see. I was just posted at Githurai a month ago. Right now I am heading to my place of assignment."

My wife nodded her head. When the conductor requested for my wife to pay her transport fare, the officer offered to pay. He pulled out a Ksh500 and Said Two.

My wife thanked him and smiled.

Then the officer continued.

"So I will be dropping soon at Githurai I am accommodated at Mwihoko Police Camp. I don't know if you can drop by someday to say hello to me. Can I have your number?"

I didn't waste any more time. I tapped my wife on her shoulders immediately.

She turned.

And then I asked her.

"Hope you remembered to put a spoon inside Flo lunch box? You know you always forget."

My wife was puzzled. She was probably wondering who Flo is, and why I had chosen to talk to her. Before she could ask any further questions I added.

"Try to pick her up from school early today. I will be coming back

Naomba ushauri😭💔! Mimi ni binti wa miaka 27 sijaolewa ila nipo kwenye mahusiano japo yamegeuka kuwa mkuki moyoni mwangu ...
13/07/2024

Naomba ushauri😭💔! Mimi ni binti wa miaka 27 sijaolewa ila nipo kwenye mahusiano japo yamegeuka kuwa mkuki moyoni mwangu ila nitafanyaje sasa na huyu kaka mimi nampenda. Iko hivi, mimi na mwanaume wangu tumedumu kwenye mahusiano tangu mwaka jana mwezi wa 12 na alipanga kunioa mwezi wa saba mwaka huu.

Sasa hapa katikati kwenye mwezi wa nne kuna janamke lishangingi liliingilia ndoa yangu, limemchukua mume wangu linampa pesa ili alale nalo mpaka mwanaume wangu amenichukia hana muda na mimi. Kaka wa watu alikuwa mpambanaji vizuri tu lakini tangu akutane na hilo zimwi la kibinadamu amekuwa hafanyi kazi tena ana mwezi sasa hajafungua duka anashinda kwa hilo janamke.😡

Limemchukua mpenzi wangu linamnywesha pombe, linampa pesa mpaka limemlemaza bwana angu hajielewi. Niko njiapanda sijui nimuokoaje mwenzangu arudi kwangu anioe, naombeni mbinu nimechanganyikiwa😭.

🥰👆👆👆👆🌸....................

Kaka naomba unisaidie kwani nahisi kuchanganyikiwa😭💔. Mimi ni Mama wa watoto watatu, ndoa yangu haina shida ila shida ni...
09/07/2024

Kaka naomba unisaidie kwani nahisi kuchanganyikiwa😭💔. Mimi ni Mama wa watoto watatu, ndoa yangu haina shida ila shida ni wanangu, yaani ni wabaya mpaka naona aibu.😢

Sijui nikuambieje, mimi ni mzuri ni mweupe na nilitegemea wanangu watachukua sura yangu, mume wangu ni wale black ambao wanavutia kila mwanamke, anajali yaani nafurahia kuwa nayeye na nikitoka naye kila mtu anajua niko na mwanaume. Mimi ni mweupe sana na k**a unavyojua niliamini kuwa damu nyeupe ni kali lakini wanangu kila kitu wamechukua cha Baba yao.😢

Natamani kuwapost wanangu kila siku ila nilishawahi kufanya hivyo lakini hakukua na comment wala like za kutosha, rafiki zangu wakipost watoto wao ni comment kibao, kusifiwa yaani mpaka najisikia vibaya. Nashindwa hata kutoka nao kisa tu naona k**a rafiki zangu hawawapendi.🥹

Rafiki zangu kila siku wanawananga wanangu kusema mume wangu kawaharibu watoto, najifanya kucheka lakini najisikia vibaya. Kuna wakati natamani hata niende niwaache huko ili nizae wengine labda watakua wazuri, yaani najikuta nina mawazo sana ndoa yangu nzuri ila sina amani kisa wanangu.😭

Kuna kaka mmoja nafanya naye kazi, tumezoeana sana, sasa rafiki zangu wanapenda kunitania kuwa nikizaa naye watatoka malaika, jmn nimejikuta naanza kutamani kuzaa naye, mimi sipendi wanaume weupe ila natamani kuzaa naye ili angalau niwe na katoto kupost eti nifanyaje.😭

NB:Jiunge na grp la whypp la str kam bado
https://chat.whatsapp.com/FA2nVvoUieeL34TG8ae8BF
🥰👆👆👆👆🌸..................

01/07/2024

Hello guys am Leah from Kakamega i was in form 3 last year and i met a man who promised to help me raise my school fees. He told me to sleep with him at his home and i did it he gave me pregnancy and he insisted i stay with him kwake. So when his wife came from job the man told me to pretend am a house girl and am pregnant. He has not given me the fees yet. Kindly what should i do am 18 years now

Nina miaka 30😭💔, sijaolewa lakini nina mchumba ambaye tushatambulishana na Mungu akipenda mwezi wa kumi na mbili tunafun...
30/06/2024

Nina miaka 30😭💔, sijaolewa lakini nina mchumba ambaye tushatambulishana na Mungu akipenda mwezi wa kumi na mbili tunafunga ndoa, kila kitu kishakamilika. Sababu ya kuja kwenu nikwakua juzi nilikua niemshika simu ya mpenzi wangu, nilikuta meseji imetumwa na namba ngeni, mdada anamuambia kuwa nahisi nina mimba yako.

Niliamua kuchukua ile namba kabla ya kumuambia mchumba wangu, ilikua imeseviwa jina lakiume lakini nilipochunguza kwa kuangalia M-Pesa nikakuta ni namba ya mdogo wangu wa damu kabisa baada ya mimi anafuata mdogo wangu wakiume kisha yeye.

Yuko chuo, mwanaume wangu kampangishia chumba na anamlipia kodi nnje ya chuo. Kuongea na Mchumba wangu akakataa katakata na kujifanya hajui chochote, lakini baada ya kumpigia simu mdogo wangu amekubali na kuniambia yeye ndiyo anapendwa na mimi nachezewa.🥺

Amenitukana kua hata k**a mimi ndiyo nilikua wakwanza kumuona lakini sasa hivi baada ya kumuona yeye anajua kuwa nitaachwa kwani kaamua kumzalia kabisa hivyo nijitoe. Amenitumia na mapicha ambayo wanapiga kila siku kitandani.

Hapo ndipo mchumba wangu alikubali, ananiambia ilikua ni bahati mbaye yeye kuwa na mdogo wangu na ananipenda sanaaaa. Ananiomba kuongea na mdogo wangu ili akubali kuitoa hiyo mimba kwani itakua aibu kwake na familia yake. Jmn naomba mnisaidie, naishije na huyu mwanaume, natamani kumuacha lakini tumekaa kwenye mahusaino miaka 8 na kila kitu kilikua vizuri nashindwa nifanye nini???

Nahisi kufa, mimi ni Binti wa miaka 27😭💔, sijaolewa ila nina mchumba wangu na sasa hivi nina ujauzito nakaribia kujifung...
29/06/2024

Nahisi kufa, mimi ni Binti wa miaka 27😭💔, sijaolewa ila nina mchumba wangu na sasa hivi nina ujauzito nakaribia kujifungua. Mchumba wangu yeye yuko mkoani kikazi na mimi nipo Dar ambapo nimekuja kujifungua, malengo ni mimi nijifungue ndiyo mchakato wa ndoa ufanyike kwani tushatambulishana.

Mwezi uliopita nilimuomba mchumba wangu pesa kwajaili ya kufanya Photo shoot za ujauzito wangu, kweli alinipa yeye hakuja kwakua alikua bize sana na kazi hivyo nilifanya mwenyewe.
Nilipiga picha nyingi, nilienda na rafiki yangu, nilipopiga picha sikuzipost lakini kumbe rafiki yangu alipost moja baadhi ya picha zangu. Siku mbili baadaye mchumba wangu alinipigia simu, alikua kakasirika akinilaumu kwanini nimemuaibisha, mimi sikumuelewa, alinitumia picha zangu, moja nilikua nimevaa kichupi tu huku juu sina kitu nimeshikilia matiti, nyingine nilipiga na chupi na sidiria nimeshikilai tumbo na nyingine nimekaa sijavaa kitu juu nimeshikilia matiti. Aliniambia hizo picha katumiwa na Baba yake anamuuliza huyu ndiyo mwanamke unataka kutuletea.

Jmn hizo picha nilipiga kwajaili yangu na mchumba wangu, sikupanga zitoke na sikujua k**a rafiki yangu atapost. Aliongea sana nikaomba msamaha na mchumba wangu alinielewa. Shida imekuja kwa wakwe zangu sasa, hawataki hata kunisikia, sio watu wa dini sana lakini wamemuambia mwanaume kuwa k**a ananioa basi aniolee huko huko hawataki kushiriki kwa chochote.😭

Nimechnaganyikiwa, mchumba wangu ameniambia kanisamehe hajali ila ukiongea naye ni k**a hayuko sawa kabisa, amepunguza mawasiliano kabisa.

Alikua ni mtu wa kupiga simu kutwa zaidi ya mara 10 lakini sasa hivi anaweza kukaa hata siku mbili hapigi, ukimuuliza anadai kuwa ni kazi. Me sikupiga picha kwa nia mbaya, nilipiga tu kwaajili ya kumbukumbu, sikujua k**a zitavuja, naomba unisaidie nifanye nini ili angalau wakwe zangu wanielewe. Nampenda sana mchumba wangu lakini nashindwa kuelewa nifanye nini nisaidieni jmn naumia🥺

Samahani nimekupigia usiku lakini nimeshindwa kulala najua nakusumbua lakini naomba nisaidie nahisi kufa😭💔, niko kwenye ...
28/06/2024

Samahani nimekupigia usiku lakini nimeshindwa kulala najua nakusumbua lakini naomba nisaidie nahisi kufa😭💔, niko kwenye mahusiano na mume wa mtu, ni mwaka wa 4 sasa, kila kitu kiko vizuri lakini shida nikuwa, kila akiwa na mke wake hapokei simu zangu, hata nikiwa na shida ya namna gani lakini hapokei simu wala kujibu meseji.

Lakini kitu kingine ni anavyomuita mke wake, kila dakika utasikia mke wangu hivi, mke wangu vile, namuambia nakasirika kwanini asimuite Mama flani, mbona wanaume wengine wanawaita wanawake zao Mama falni lakini yeye ni mke wangu mke wangu k**a ndiyo pekee kaoa.😡

Kuna siku nilichukua simu ya mwanaume, nikajipost status, nikablock kila mtu kasoro mke wake, lakini jmn mwanaume hakuniuliza wala sikusikia k**a kagombana na mke wake, niliandika maneno ya kimapenzi kabisa ili kumchoma lakini wapi, naomba nisaidie nifanye nini ili angalau aache tabia hii ya kila siku kusema mke wangu hata amuite majina yake kamili maana naumia sana kwani nampenda!🥺

Address

Blackheath
London
MAMANGINA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Embu Satellite 14 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Embu Satellite 14:

Share

Category