Claude Bitiss Ramsey

Claude Bitiss Ramsey Wise Men

10/06/2020

📌 ,UWANJA WA ZAMANI WA ARSENAL HOME OF FOOTBALL (HIGHBURY STADIUM)

✍ unapatikana ( highbury london England) ni mwanzoni ni mwanzoni mwa miaka ya 1910 ambapo woolwich arsenal walihama eneo moja linaitwa manor ground in plumbstead uko kusini mashariki mwa london na kuhamia highbury

✍ eneo hili la highbury lilokuwa linamilikiwa na chuo cha st john,s collage of divinity arsenal alifanya kukodisha kwanza eneo hilo kwa mara ya kwanza

✍ chini ya uongozi wa bwana henry noris ambae inaelezwa pia alikuwa ni mwenyekiti wa team ya fulham na aliwahi kutoa pendekezo kwamba team ziungane woolwish arsenal na fulham ila ilishindikana na kuamliwa abaki team moja kuepusha migogoro akabaki na woolwish arsenal

✍ na huyu mtu ndio mwasisi wa mara ya kwanza kuifanya woolwich arsenal kuwa team ya wachezaji wa kulipwa team ya kwanza kufanya hvyo kutoka london

✍ huyu herry norris ili kuhakikisha team inaongeza wigo wa mashabiki hdio aliye ratibu njama ya team kusign mkataba wa upangishaji eneo hilo la st john,s licha changamoto toka vilabu vingine vya london woolwish arsenal ilisign mkataba kisheria umiliki wa hiyo ardhi 1913

✍ mkataba huu wa ardhi ulionesha team kulipa kiasi cha £20000 kwa kipindi cha miaka 21 eneo hilo lenye ukubwa wa ekali 6

✍ kutokana na eneo hilo kuwa la chuo team ilipewa masharti kutocheza michezo yake ya nyumbani eneo hilo siku za christmass na ijumaa kuu

✍ ujenzi wa uwanja wa arsenal maarufu k**a home of football ulikuwa designed na Archibald leitch ambae pia anatajwa kudesign viwanja vya man united,everton,liverpool

✍ eneo la uwanja lilisawazishwa nyansi mpya pia eneo la kuingilia liliwekwa na majukwaa sehemu kukaa mashabiki (terracing)

✍ na gharama kubwa ya ujenzi huu ilikuwa chini ya bwana henry norris ambapo sehemu ya kukaa mashabiki kwa wakati huu mwanzo ilikuwa ikichukuwa mashabiki 9000

✍ licha ya ujenzi kuwa unaendelea ila arsenal alianza kutumia uwanja huu mchezo wa kwanza kabisa ukiwa dhidi ya leicester city arsenal kushinda 2-1 na ndio msimu wa kwanza arsenal kucheza league daraja la kwanza

✍ uwanja huu uliendelea kutumika ata kwenye match za England 1920 uko na arsenal alifanikiwa kununua jumla eneo hili la uwanja 1925 kutoka kwenye kupanga na iligharimu £ 64000 kwa wakati ule

✍ mwanzoni mwa miaka ya 1930 kipindi cha herbet chapman team iliweza kufanya maboresho zaidi kupanua wigo wajukwaa ya kukalia na roof sehemu hizo za mashabiki miladi ambayo ilichukua pesa ni pamoja na uwekaji wa saa eneo la uwanja

✍ na mwanzoni mwa miaka 1990 team ilifanya maboresho zaidi pia ya uwanja na saa iyo ambayo ilikuwa kwenye eneo la uwanja huo highbury

✍ kipindi ichi cha kocha george graham na vice chairman kipindi icho david dein lengo la maboresho ni kukuza pia wigo wa nafasi ilikuingiza watu wengi zaidi

✍ lakini sasa ilifika wakati miaka ya 1990+ team ilitaka kupanua zaidi uwanja huu wa highbury kuongeza ukubwa (capacity) ila mradi ulifail huu kutokana na mazingira uwanja ulipo ilionekana itaadhiri majilani karibu na uwanja huo

✍ highbury iliendelea kutumika k**a uwanja wa nyumbani wa arsenal mpaka 2006 ambapo arsenal alikuwa k**aliza mradi mpya wa ujenzi,wa uwanja emirates stadium

✍ highbury uliagwa kwa mchezo dhidi ya wigan na kushinda 4-2 hat trick ya thiery henry ambae ni mchezaji wa kihistoria wa uwanja huu kafunga goal nyingi akiwa hapo highbury

✍ kwa sasa uwanja huu sehemu ya majukwaa ilivunjwa na kujengwa apartments (nyumba) vipatavyo 700+ na eneo la kuchezea (pitch) kumejengwa bustani kwa ajili ya wakazi wa hapo

✍ kwa sasa kunatambulika k**a highbury square na hii ni safari kwa kifupi ya highbury tangu 1913-2006

Ni mimi

10/06/2020
01/01/2019

Next Match Arsenal Vs West Ham United. 12 January 2019: Tunataka Alana 3 tu. Usiku Mwema Our Friends Ok

01/01/2019

Full Time Arsenal 4-1 Fulham : G.Xhaka 25', A.Lacazette 55', A.Ramsey 79', P.Aubameyoung 83. Upande Wa Fulham Kamara 69. Wenzangu Mashabiki Wa Tufurahi Na Mwaka Mpya Natena Tufulahie Timu Yetu. Wariotucheka Tusubili Tunakuja Muda Sio Mlefu, Heri Na Baraka Kwenu!!!!!

01/01/2019

Wenyeweeeeeeee Hiyo Ndo Arsenal Yenyewe Nyingine Feki. 4-1 : Ramsey 79', Aubameyoung Wenyeweeeeeeee Hiyo Ndo Arsenal Yenyewe Nyingine Feki. 4-1 : Ramsey 79', Aubameyoung 83'

01/01/2019

Furaha Yetu Imerudi Dakika Ya 63'. Arsenal 2-0 Fulham : G.Xhaka 25', A.Lacazete 55'

26/12/2018

Brighton & Hove Albion 1-1 Arsenal Inauma Sana Ila Musimu Wa Premier Bado Mbichi Sana. Tunasubili Next Match. Usiku Mwema Mashabiki Wa Nawangine

26/12/2018

The End Of Match City Hoi, Tusubiri Tunakuja Sasa Hvi Liecester City 2-1 Machester City. Arsenal 1-1 Brighton& Hove Albion: Ila Bado Mechi Haija Isha

26/12/2018

Liverpool 4-0 Newcastle United, Manchester 3-1 Huddesfield Town

14/08/2017

Address

Rumonge

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Claude Bitiss Ramsey posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category