01/03/2026
Miaka 9 ya ubunifu, kazi, kujifunza na kukua! 🎉🔥
Tunasherehekea miaka 9 ya kuwatangazia, kuwaburudisha na kuwaletea content bora.
Shukrani kwa kila aliye sehemu ya familia yetu kutoka wazo dogo hadi kuwa media platform pamoja na Platform Show Music Awards kuskika !
Tumepitia mengi : project za kwanza, timu iliyokua, changamoto, mafanikio… na haya yote yametufikisha hapa.
Asanteni kwa kutupa nguvu ya kuendelea