saul_moses31

saul_moses31 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from saul_moses31, Sports Event, 100 Kasulu, Sumbawanga.

16/07/2023

Hellow fans

God plans πŸ™
30/10/2022

God plans πŸ™

Zanzibar finest
04/04/2022

Zanzibar finest

Mechi 4 dhijazo za Yanga sc πŸ”°Young Africans vs Mafunzo fc frendy Match 30,2022Azam fc vs Young Africans NBCApril 6,2022Y...
31/03/2022

Mechi 4 dhijazo za Yanga sc πŸ”°

Young Africans vs Mafunzo fc frendy
Match 30,2022

Azam fc vs Young Africans NBC
April 6,2022

Young Africans vs Geita g ASFC
April 13,2022

Young Africans vs Simba Sport NBC
April 30,2022

Happy birthday uncle
31/03/2022

Happy birthday uncle

A birthday is just the first day of another 365-day journey around the sun.Happy birthday to me πŸ™πŸŽ‚
31/03/2022

A birthday is just the first day of another 365-day journey around the sun.

Happy birthday to me πŸ™πŸŽ‚

Makocha wanne wa Afrika wanaenda kombe la Dunia Qatar.....Massive. Massive. πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎJalel Kadri: Tunisia πŸ‡ΉπŸ‡³ Otto Addo: Ghana...
30/03/2022

Makocha wanne wa Afrika wanaenda kombe la Dunia Qatar.....Massive. Massive. πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ

Jalel Kadri: Tunisia πŸ‡ΉπŸ‡³

Otto Addo: Ghana πŸ‡¬πŸ‡­

Rigobert Song: Cameroon πŸ‡¨πŸ‡²

Aliou Cisse: Senegal

Kocha wa mpira πŸ”₯πŸ”₯
30/03/2022

Kocha wa mpira πŸ”₯πŸ”₯

Predator πŸ”₯πŸ”₯
19/03/2022

Predator πŸ”₯πŸ”₯

KLABU ya Simba imeibuka na ushindi na 2-1 kwenye mchezo katika mechi ya kirafiki dhidi ya Cambiasso kwenye Uwanja wa Mo ...
15/03/2022

KLABU ya Simba imeibuka na ushindi na 2-1 kwenye mchezo katika mechi ya kirafiki dhidi ya Cambiasso kwenye Uwanja wa Mo Simba Arena, uliopo Bunju.

Mshambuliaji Simon Msuva ni kati ya wachezaji wa Cambiasso ambao wanacheza mechi hiyo na kufanikiwa kufunga bao.

Msuva yupo nje ya timu yake ya Wydad ya Morocco, huku sababu ikitajwa na kudai maslahi yake na kukaa kwake Cambiasso ni kulinda kiwango chake.

Katika mchezo huo hadi wanaenda mapuziko ubao ulikuwa unasoma Simba 1-1 Cambiasso kwa mabao ya Simon Msuva na Erasto Nyoni.

Kipindi cha pili kiungo wa Simba, Clatous Chama alikosa penalti dakika ya 68, ambapo shuti lake liliishia mikononi mwa kipa wa Cambiasso.

Penalti hiyo, ilitokana na Bernard Morrison kuwapangua mabeki wa Cambiasso, kisha akaangushwa ndani ya 18 akiwa katika harakati ya kufunga.

Chama alifunga bao la pili dakika ya 76, ilikuwa kazi ya Yusufu Mhilu ambaye akipambana na mabeki wa Cambiasso, akitokea pembeni ya uwanja kisha kutoa pasi kwa mfungaji.

Mechi hiyo, ilichezwa dakika 78 Simba ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1, yakifungwa na Erasto Nyoni, Clatous Chama kwa Cambiasso alifunga Simon Msuva.

Credit-Mwananchi.



Sheikh  πŸ”₯πŸ”₯
15/03/2022

Sheikh πŸ”₯πŸ”₯

MOTO HAUZIMI. Leo NBC premier league, patakua na shughuli tena. πŸ“Œ Pale uwanja wa jamhuri morogoro mtibwa sugar watakua n...
12/12/2021

MOTO HAUZIMI.

Leo NBC premier league, patakua na shughuli tena.

πŸ“Œ Pale uwanja wa jamhuri morogoro mtibwa sugar watakua na kibarua dhidi ya wanajeshi wa mpakani biashara united kutokea pale Mara.

πŸ“Œ Azam fc watawakaribisha wanankulukumbi kagera sugar majira ya saa 1:00 usiku, pale chamazi complex.

NB: Mwana wa mfalme is back πŸ™βœŠ
Follow me
Saul Moses Jr.]]
Saul Moses Jr.]]
Saul Moses Jr.]]

Address

100 Kasulu
Sumbawanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when saul_moses31 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category