28/05/2026
Ni siku ya Jumamosi tar 30.5.2026 kuanzia saa 11:30 alfajiri. Kwenye viwanja vya shule ya Msingi Yalagano. Kutakuwa na michezo mbali mbali k**a wazee kuk**ata kuku,draft,bao,karata,kuvuta kamba,riadha,mpira wa pete,mpira wa miguu,mashindano ya kula na kunywa soda,ngoma za asili,kukimbia kwakutumia magunia,pamoja michezo mingine. Ikumbukwe pia kutakuwa supu,pamoja na chakula cha mchana, wote mnakaribishwa.