09/11/2021
ONJA ONJA season 2🔥🔥is hereee na msimu huu tuko na watu wa MOSHI🔥 Festival special kwa wale wanaopenda misosi maana hapa tutakula kila aina ya nyama😋🤤 na watu wangu wa dar najua mnavyopenda Bata, usafiri upo wa kutupeleka na kuturudisha na itajumlisha kiingilio. Unaanzaje kukosa😄Tukutane UHURU PARK tarehe 18/12
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi: 0785377708 au follow page yetu