Mo soka

Mo soka account for sport events

taharifa kutoka shilikisho la ligi ya NBC
08/03/2025

taharifa kutoka shilikisho la ligi ya NBC

yanga pia hawajapoa .hii tarehe itakuwa ya heri kwenye.
08/03/2025

yanga pia hawajapoa .hii tarehe itakuwa ya heri kwenye.

taarifa kutoka kwa Simba sports club .vp k**a wanasoka unaweza ukasema nini....??
08/03/2025

taarifa kutoka kwa Simba sports club .vp k**a wanasoka unaweza ukasema nini....??

wachambua  hii Hali unaiyongaje ....??
06/03/2025

wachambua hii Hali unaiyongaje ....??

imebaki masaa machache ili kuangalie dabi ya Madrid .huku vin jr kule alvalver nani ataondoka kibabe
04/03/2025

imebaki masaa machache ili kuangalie dabi ya Madrid .huku vin jr kule alvalver nani ataondoka kibabe

04/03/2025

tarehe 8 sijui itakuwaje .....??

leo timu ya Liverpool inakumbuka siku ya kuzaliwa yaliyekuwa mchezaji wao aliyechezea  timu iyo miaka ya 1988 .alikuwa  ...
04/03/2025

leo timu ya Liverpool inakumbuka siku ya kuzaliwa yaliyekuwa mchezaji wao aliyechezea timu iyo miaka ya 1988 .alikuwa Moja ya sehemu muhimu ya kikosi katika kipindi hicho . happy birthday Kenny.

huku pia hakuna dogo kwenye FA CUP moto unawaka sana .vipi ni timu gani itaendelea kwenye hatua ya mbele zaidi ....??
04/03/2025

huku pia hakuna dogo kwenye FA CUP moto unawaka sana .vipi ni timu gani itaendelea kwenye hatua ya mbele zaidi ....??

Liverpool umeweka record kwenye machuanibya UEFA CHAMPIONS LEAGUE hatua ya group bila kufungwa na timu yoyote . history ...
04/03/2025

Liverpool umeweka record kwenye machuanibya UEFA CHAMPIONS LEAGUE hatua ya group bila kufungwa na timu yoyote . history was written in UEFA CHAMPIONS LEAGUE BOOK 📚

huu ndiyo msimamo wa ligi ya laliga  .wazee wa kubet betini na hapa je ni timu gani inachumua ubingwa wa laliga 🏆. tukut...
04/03/2025

huu ndiyo msimamo wa ligi ya laliga .wazee wa kubet betini na hapa je ni timu gani inachumua ubingwa wa laliga 🏆. tukutane kwenye comment

unatamani nani achukue mfungaji Bora kwa UEFA CHAMPIONS LEAGUE 🏆 ...??
03/03/2025

unatamani nani achukue mfungaji Bora kwa UEFA CHAMPIONS LEAGUE 🏆 ...??

03/03/2025

vp hahutani nini ....??

Address

1 Mzumbe
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mo soka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category