08/04/2021
✍ Anaandika
:
Al Ahl🇾🇪y vs Simba 🇹🇿VITA YA KUJENGA HESHIMA
“Hakuna mtu aliye itarajia Simba kufuzu Na licha ya kufuzu kuongoza Kundi lile mbele Al Ahaly ”
..Mechi ya kwanza Simba Alimfunga Ac Vita goli moja kwa bila baada ya hapo historiya mpya iliandikwa Kuwa simba ndiyo timu ya kwanza tokea Tanzania kushinda ndani ya ardhi Congo . Wengi walidhani kabahatisha kilicho stusha zaidi ni ule ushindi wa 1-0 dhidi ya Al Ahly ,
Baada ya ushindi ule Simba ilibadilisha kilakitu wadau wengi wa mpira tokea Afrika waliaanza kuutambua ukubwa wa simba na kuheshimu uwekezaji ulio fanywa The Boss..Mo Dewji
Kesho wanakutana ikiwa kila mmoja amesha pata tiketi ya kucheza Robo fainal Simba wakiongoza kundi na Al Alhy akiwa nafasi ya pili
..Simba inaihitaji mechi hii ili kujitambulisha kimataifa zaidi kuwa wao ni bora zaid Kwa sasa Afrika k**a wakimfunga bingwa wa Afrika nyumbani na ugenini ndani ya msimu mmoja . Kila mmoja afrika ataifahamu Simba kwa ukubwa zaidi ya hapa walipo fika sasa
. Simba kibiashara zaidi ina uhitaji mchezo huu kushinda ili kufanya biashara pia ..kwa kuuza na kununua wachezaji wazuri
..NB Mchezaji mzuri hatangalii fedha tu bali hata timu inayo fanya vuzuri na yenye malengo
.Pia wachezaji wa Simba wanauhitaji mchezo huu kuendelea kufanya vuzuri ili kujiuza nje ya Tanzania na bara la Afrika
.Hakuna Asiye jua ubora wa Al Ahly Afrika na hata Duniani kwa sasa watakacho hitaji wao ni kurejesha Heshma yao ile ya mwanzo
@ SokaSoka kiganjaniaSoka kiganjani