LASA BONGO MEDIA

LASA BONGO MEDIA Get Latest Digital Updates Based on Entertainment, Sports News & Social updates.

Serengeti Boys Yawasili  Uwanjani Kuipiga Fainal dhidi ya Senegal AFRCON U 17.
02/06/2026

Serengeti Boys Yawasili Uwanjani Kuipiga Fainal dhidi ya Senegal AFRCON U 17.

Baada Ya Muda Kupita sasa Ahadi waliyoahidiwa Imetimia, Gari la Klabu ya Simba Sasa lipo Nchini Tanzania Baada Ya Kipind...
02/06/2026

Baada Ya Muda Kupita sasa Ahadi waliyoahidiwa Imetimia, Gari la Klabu ya Simba Sasa lipo Nchini Tanzania Baada Ya Kipindi Kupita wakiwa wameahidiwa Na Mmoja wa Wawekezaji wa Klabu Hiyo, Hata Hivyo maneno yamekuwa mengi Mtandaini Juu ya Gari Hilo.

Je Unadhani Unyama Huo wa Simba Unashida yeyote.?

Taifa Stars Yawasili morocco Kukipiga Mechi Za Kirafiki Za FIFA series.
02/06/2026

Taifa Stars Yawasili morocco Kukipiga Mechi Za Kirafiki Za FIFA series.

31/05/2026

Studio za barnaba Zateketea Moto Jijini Dar es Salaam

PSG Imeandika Record Msimu Huu Kufunga Magoli 45 Katika Michuano Ya UEFA Champion League kitu ambacho hakijafanywa na Ti...
31/05/2026

PSG Imeandika Record Msimu Huu Kufunga Magoli 45 Katika Michuano Ya UEFA Champion League kitu ambacho hakijafanywa na Timu Yeyote ile Kati Ya Timu zote zilizoshiriki michuano Hiyo.

Mbunge Wa Kigoma Mjini Baba Levo Amelazwa Baada Ya Kuugua Ghafla Na Kushare Picha kwenye Ukurasa Wake wa Instagram akiwa...
29/05/2026

Mbunge Wa Kigoma Mjini Baba Levo Amelazwa Baada Ya Kuugua Ghafla Na Kushare Picha kwenye Ukurasa Wake wa Instagram akiwa Hospatal Huku Akiandika "Eesh!! Nirudishe Barabarani ....."

Miamba Ya soka Baarani Afrika Morocco Wameanza Kuriport Kambini Kwa Ajili Ya Maandalizi Ya Michuano Ya kombe La Dunia (F...
29/05/2026

Miamba Ya soka Baarani Afrika Morocco Wameanza Kuriport Kambini Kwa Ajili Ya Maandalizi Ya Michuano Ya kombe La Dunia (FIFA WORLD CUP 2026) ambayo inatarajia Kuanza hivi Karibuni.


Luqman Mbalasalu na Kassimu Juma wameongezwa Kwenye Kikosi Cha Taifa Stars Na Miguel Gamondi Kocha Mkuu Wa Timu Ya Taifa...
29/05/2026

Luqman Mbalasalu na Kassimu Juma wameongezwa Kwenye Kikosi Cha Taifa Stars Na Miguel Gamondi Kocha Mkuu Wa Timu Ya Taifa.

Wachezaji Hao wataambatana Na Taifa Stars Mara Baada Ya Kutamatika Kwa Fainl Ya AFCON U 17 itakayochezwa June Hata Hivyo, Watacheza Mechi Za Kirafiki 2 Zilizopangwa Na FIFA dhidi ya Unganda Na Rwanda.

Nyota wa Pyramid Na aliyewahi Kuitumikia klabu Ya Yanga Fiston Mayele Sasa kutumkia Saudi Arabia Kucheza Ligi Moja Na Ny...
29/05/2026

Nyota wa Pyramid Na aliyewahi Kuitumikia klabu Ya Yanga Fiston Mayele Sasa kutumkia Saudi Arabia Kucheza Ligi Moja Na Nyota Wa Ureno Cristiano Ronaldo.

Baada Ya Nyota Huyo Kuiyumikia Klabu Ya Pyramid Kwa Takribani Miaka 3 Sasa Ayaonsoka K**a Mchezaji Huru baada Ya Mkataba Wake kutamatika June 30/06 /2026.

Tutegemee Kumuona Mayele Akicheza Ligii Moja Na Mwamba Wao CR 7 huko Saudi Arabia.

Bernard Morrison Ameandika Kwenye Ukurasa wake wa Facebook "Back To Hood" Je Unadhani Anamanisha Nini??
29/05/2026

Bernard Morrison Ameandika Kwenye Ukurasa wake wa Facebook "Back To Hood" Je Unadhani Anamanisha Nini??

Address

Kasulu
Kigoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LASA BONGO MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category