Kibondo Youth Center

Kibondo Youth Center Lengo ni kukuza na kuendeleza vipaji vya soka kwa jinsia zote βš½πŸ…βš½.

Kibondo youth center academy sports inapatika mkoani kigoma wilaya ya kibondo mjini kitongoji cha kumwerulo mtaa wa malagarasi uwanja wa shule ya secondary muhabwe πŸ¦…βš½πŸ¦…
+255749495344

Kwa mara ya kwanza Leo imeshuhudiwa Fainali iliyo Isha kabla ya dakika kukamilika , matokeo yakiwa 1-1 lakini mshindi ka...
10/05/2026

Kwa mara ya kwanza Leo imeshuhudiwa Fainali iliyo Isha kabla ya dakika kukamilika , matokeo yakiwa 1-1 lakini mshindi kapatikana bado hatutajua mshindi kashinda Kwa vigezo gani akati live score ilikua inasoma 1-1 ,πŸ€”
kipindi chapili zimechezwa dakika takriban10 tu ,,, kabla ya kutokea vurugu Kwa upande wa mashabiki zilizo Fanya mchezo kusimama na waamuzi kumaliza mchezo kabisa , chakushangaza ni kwamba ubingwa kapewa mpinzani KANYONZA QUEENS πŸ₯Ί

Tuseme tu Mapenzi na mipango ya nje ya uwanja imetuharibia Fainali yetu , kweli mcheza kwao hutunzwa ...

Tutajipanga Kwa wakati mwingine , Akhsanteni Wadau na mashabiki wasoka mliotupatia sapoti yenu mpaka hapa tulipo fikia πŸ™πŸ†πŸ’ͺ

 πŸ§‘β€πŸΌπŸ€±πŸ€°πŸ’Onyesha upendo Comment Neno lenye ujumbe kwaajiri ya mama yakoπŸ™
10/05/2026

πŸ§‘β€πŸΌπŸ€±πŸ€°πŸ’
Onyesha upendo Comment Neno lenye ujumbe kwaajiri ya mama yakoπŸ™

  MASHAKA NYAMALIZA 🚌🚌🚌🚌🚌
10/05/2026

MASHAKA NYAMALIZA 🚌🚌🚌🚌🚌

MATCH DAY FAINALI..πŸ†Ligi ya wanawake mkoaTukutane uwanja wa Shule ya msingi Maendeleo πŸ’ͺπŸ™
09/05/2026

MATCH DAY FAINALI..
πŸ†Ligi ya wanawake mkoa
Tukutane uwanja wa Shule ya msingi Maendeleo πŸ’ͺπŸ™

KUTOKA CHAMA CHA MPIRA WILAYA YA KIBONDO πŸ“ΈπŸ†Umoja wetu ndio Ushindi wetu , Mashabiki wetu na Wadau wa kibondo youth cente...
09/05/2026

KUTOKA CHAMA CHA MPIRA WILAYA YA KIBONDO πŸ“ΈπŸ†
Umoja wetu ndio Ushindi wetu , Mashabiki wetu na Wadau wa kibondo youth center tunaomba mje Kwa wingi kesho jumapili kuisapoti timu πŸ™πŸ™πŸ’ͺ

NEXT MATCH πŸ†πŸ† Kigoma womens league FINAL
09/05/2026

NEXT MATCH πŸ†
πŸ† Kigoma womens league FINAL


Upande wa AMSHA AMSHA CUP SEASON 3 timu yetu ya kibondo youth center imevuna point 3 muhimu Baada ya Ushindi dhidi ya MB...
08/05/2026

Upande wa AMSHA AMSHA CUP SEASON 3 timu yetu ya kibondo youth center imevuna point 3 muhimu Baada ya Ushindi dhidi ya MBUTO FC..
Mechi iliyopigwa uwanja wa Taifa kibondo

ASANTE MUNGU !!!πŸ™πŸ™Kazi ni moja Tuuuuuu!!! Kuleta Heshima ya soka Wilayani kibondo πŸ’ͺπŸ†K**a tupo pamoja mwaga moto πŸ”₯ kwenye...
08/05/2026

ASANTE MUNGU !!!πŸ™πŸ™
Kazi ni moja Tuuuuuu!!! Kuleta Heshima ya soka Wilayani kibondo πŸ’ͺπŸ†

K**a tupo pamoja mwaga moto πŸ”₯ kwenye comment πŸ†πŸ˜Ž

PICHA 5 KUTOKA KWA MFUNGAJI WA MABAO YETU MAWILI DHIDI YA LOSAMBO QUEENS YALIYO TUPELEKA FAINALI LIGI YA MKOA...Neno moj...
08/05/2026

PICHA 5 KUTOKA KWA MFUNGAJI WA MABAO YETU MAWILI DHIDI YA LOSAMBO QUEENS YALIYO TUPELEKA FAINALI LIGI YA MKOA...
Neno moja Kwake ELLEN PETRO

PICHA ZA MATUKIO MCHEZO WETU WA NUSUFAINALI LIGI YA MKOA KIGOMA KIBONDO YOUTH CENTER DHIDI YA LOSAMBO FC.πŸ“ΈπŸ“ΈπŸ“ΈMatokeo ni U...
08/05/2026

PICHA ZA MATUKIO MCHEZO WETU WA NUSUFAINALI LIGI YA MKOA KIGOMA KIBONDO YOUTH CENTER DHIDI YA LOSAMBO FC.πŸ“ΈπŸ“ΈπŸ“Έ
Matokeo ni Ushindi kwetu bao 2 Kwa 1 ,,
Uwanja wa Maendeleo Kakonko

TUKUTANE FAINALI πŸ˜…πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Full time uwanja wa Shule ya msingi Maendeleo Kakonko, Kikosi chetu cha wasichana kimepata Ushindi ...
08/05/2026

TUKUTANE FAINALI πŸ˜…πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Full time uwanja wa Shule ya msingi Maendeleo Kakonko, Kikosi chetu cha wasichana kimepata Ushindi wa goli 2 Kwa 1 dhidi ya Losambo Queens kutoka kigoma mjini magoli yote mawili yamefungwa na Kiungo wetu namba 10 ELEN PETRO.
Rasmi kibondo youth tumefuzu kwenda Fainali ya ligi ya mkoa kigoma...

ALHAMDULLILAH πŸ™
SHUKRAN SANA KWA WADAU MNAOENDELEA KUTUSAPOTI TUKUTANE FAINALI πŸ’ͺπŸ†

Address

Kibondo
Kigoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kibondo Youth Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category