Gerraldo Sport Tz

Gerraldo Sport Tz Gerraldo sport News

01/12/2025
Frankfut na marmush Omar katika moja na mbili ila hawa jamaa waliupiga mwingi aisee.
24/07/2025

Frankfut na marmush Omar katika moja na mbili ila hawa jamaa waliupiga mwingi aisee.

Baada ya kudumu klabuni Athletico Madrid kwa zaidi ya miaka 17 hatimae Saúl Ñíguez ametimkia zake Flamengo ya Brasil.
24/07/2025

Baada ya kudumu klabuni Athletico Madrid kwa zaidi ya miaka 17 hatimae Saúl Ñíguez ametimkia zake Flamengo ya Brasil.

Point za Liverpool  ni nyingi kuliko point za Manchester United na  Everton ukizijumlisha🤯
25/04/2025

Point za Liverpool ni nyingi kuliko point za Manchester United na Everton ukizijumlisha🤯

25/04/2025

Hatimae nimerud tena hewani

Mungu akuongoze mwamba wa Bujumbura
20/03/2022

Mungu akuongoze mwamba wa Bujumbura

14/03/2022

Hii inaitwaje kwa lugha ya mpira

Viingilio kwenye mechi ya YANGA VS RIVERS UNITED.
10/09/2021

Viingilio kwenye mechi ya

YANGA VS RIVERS UNITED.

Zakaria Hanspope amefariki usiku huu,Hanspope alikua amelazwa katika hospitali ya Agha Khan ndipo umauti ulipomfikia.   ...
10/09/2021

Zakaria Hanspope amefariki usiku huu,
Hanspope alikua amelazwa katika hospitali ya Agha Khan ndipo umauti ulipomfikia.

Pumzika kwa aman legend.

10/09/2021

YANGA YARUHUSIWA KUINGIZA MASHABIKI.Klabu ya yanga imeruhusiwa kuingiza Mashabiki katika mchezo wao wa round ya kwanza w...
10/09/2021

YANGA YARUHUSIWA KUINGIZA MASHABIKI.

Klabu ya yanga imeruhusiwa kuingiza Mashabiki katika mchezo wao wa round ya kwanza wa CAF CHAMPIONS LEAGUE utakaochezwa jumapili hii.

Address

Vijibweni
Kigamboni

Telephone

+255716209325

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gerraldo Sport Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Gerraldo Sport Tz:

Share

Category