Spots News

Spots News Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Spots News, Sports Event, Ifakara, Iringa.

Takwimu za Jeanine Mukandayisenga Kwenye  Ligi Kuu Wanawake Tanzania 2025-26๐ŸŸ๏ธMichezo 12โšฝMabao 18๐Ÿ”ฅ Hat trick 2โฐDakika 10...
03/04/2026

Takwimu za Jeanine Mukandayisenga Kwenye Ligi Kuu Wanawake Tanzania 2025-26

๐ŸŸ๏ธMichezo 12
โšฝMabao 18
๐Ÿ”ฅ Hat trick 2
โฐDakika 1080

Kinara wa Mabao Yanga Princess
Kinara wa Mabao Ligi Kuu

Neno moja kwa JEANINNE MUKANDAYISENGA๐Ÿ™๐Ÿ”ฐ

Kikosi cha TRA dhidi ya wananchi
18/03/2026

Kikosi cha TRA dhidi ya wananchi

Kikosi cha Young Africans Sports Club dhidi ya TRAnani ataondoka mbabe toa maoni yako
18/03/2026

Kikosi cha Young Africans Sports Club dhidi ya TRA
nani ataondoka mbabe toa maoni yako

CAF CHAMPIONS LEAGUE Kikosi Cha Mamelodi Sundowns kinachoanza Didhi ya Esperance de Tunis. Mechi ni Saa Tatu usiku. Kumb...
26/04/2024

CAF CHAMPIONS LEAGUE

Kikosi Cha Mamelodi Sundowns kinachoanza Didhi ya Esperance de Tunis.

Mechi ni Saa Tatu usiku. Kumbuka mchezo wa kwanza Mamelodi Sundowns alipoteza goli 1-0 akiwa Ugenini.

Mambo yanaanza kuchangamka si muda, naombeni mnifollow kwa taarifa za uhakika
26/04/2024

Mambo yanaanza kuchangamka si muda, naombeni mnifollow kwa taarifa za uhakika

WASAUZ KUIBOMOA YANGA! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅKwa mujibu FARPost, jukwaa la habari za michezo la mtandaoni la Afrika Kusini, wamewataja nyot...
09/04/2024

WASAUZ KUIBOMOA YANGA! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Kwa mujibu FARPost, jukwaa la habari za michezo la mtandaoni la Afrika Kusini, wamewataja nyota watano wa Yanga ambao wanazivutia zaidi vilabu vya Afrika Kusini DStv Premiership na pengine wakasajiliwa huko msimu ujao.

Hii ni baada ya Yanga kusimama imara dhidi ya Mamelodi Sundowns katika michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kiasi kulazimika kuondolewa kwa mikwaju ya penalti baada ya dakika 180 za ujumla zisizo na mbabe.

Kwa mujibu wa FARPost, nyota hao watano ni;
1. Djigui Diarra ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ (Golikipa)
2. Stephane Aziz Ki ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ (Kiungo mshambuliaji)
3. Ibrahim Hamad ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (Beki wa Kati)
4. Maxi Nzengeli ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ (Kiungo mshambuliaji)
5. Yahya Mudathir ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (Kiungo)

Yanga kazi ipo

... ๐Ÿ—ฃ๏ธ "๐—”๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—”๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—”๐—ž๐—œ๐—Ÿ๐—œ""Mtu anayefurahia Yanga SC kutolewa kwenye robo fainali CAF champions league  huyo ana mat...
08/04/2024

... ๐Ÿ—ฃ๏ธ "๐—”๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—”๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—”๐—ž๐—œ๐—Ÿ๐—œ"

"Mtu anayefurahia Yanga SC kutolewa kwenye robo fainali CAF champions league huyo ana matatizo ya akili"

ยฉ๏ธ Ismail Aden Rage
Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC

SEMI FINAL CAF Champions League Esperance de tunis vs Mamelod sundownTp mazembe vs Ahly
07/04/2024

SEMI FINAL CAF Champions League
Esperance de tunis vs Mamelod sundown
Tp mazembe vs Ahly

.ASEC MIMOSA YATOLEWA HATUA YA ROBO KWA PENALTIESCAF Champions League ๐Ÿšฉ ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : Penalty Shootout ASEC MIMOSAS ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ 2๏ธโƒฃ...
07/04/2024

.ASEC MIMOSA YATOLEWA HATUA YA ROBO KWA PENALTIES
CAF Champions League
๐Ÿšฉ ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : Penalty Shootout
ASEC MIMOSAS ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ 2๏ธโƒฃโž–๏ธ4๏ธโƒฃ ESPERANCE ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ
โœ…๏ธ Mofosse โœ…๏ธ Merriah
โŽ๏ธ๏ธ Kouame โœ…๏ธ Bouchniba
โŽ๏ธ Salifou โœ…๏ธ Teka
โœ…๏ธ Pokou โœ…๏ธ Tougai

โœ๏ธ Esperance itacheza na Mamelodi nusu CAFCL

AMEANDIKA DIARA KWA UCHUNGU MKUBWA.๐Ÿ”ด     ๐Ÿ”ต "Ninajivunia hii timu na kundi hili. Tulifanya kila linalowezekana kufikia le...
06/04/2024

AMEANDIKA DIARA KWA UCHUNGU MKUBWA.๐Ÿ”ด

๐Ÿ”ต "Ninajivunia hii timu na kundi hili. Tulifanya kila linalowezekana kufikia lengo letu lakini hatukuweza kuyafikia ๐Ÿ˜ข.Kwa mara nyingine tena sisi ni miongoni mwa waliobora ,lazima tuendelee ili kuongeza juhudi zetu mara dufu maana kwa hakika ipo siku furaha tunayoitafuta sana itafika.

Asante sana wanayanga wote kwa sapoti yenu kila siku .

Shukrani kwa Watanzania wote kwa upendo ๐Ÿ™๐Ÿ’–๐Ÿ”ฐ" -DIARRA

Tp mazembe amefanikiwa kutinga nusu fainali ya Clab bingwa Africa CAF Champions League  kwa kumuondoa Petro de luanda kw...
06/04/2024

Tp mazembe amefanikiwa kutinga nusu fainali ya Clab bingwa Africa CAF Champions League kwa kumuondoa Petro de luanda kwa matokeo ya (1: 2)
Petro de luanda ambao hawakuruhusu goli katika michezo yote waliyocheza nyuma ikiwa ni michezo saba.
Hongera kwa kunguru weusi TP Mazembe ๐Ÿ’ช

Address

Ifakara
Iringa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Spots News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category