WANA SIMBA Sports CLUB

WANA SIMBA Sports CLUB Michezo na burudani

mambo yameanza kunoga  huku
25/08/2024

mambo yameanza kunoga huku

uchache na wingi  sio kipimo sahihi cha chanya na hasi.  wema na ubaya una kanuni zao katika uhalisia
26/07/2024

uchache na wingi sio kipimo sahihi cha chanya na hasi. wema na ubaya una kanuni zao katika uhalisia

Ugenini kuwakabili wachimbaji wa dhahabu.
12/02/2024

Ugenini kuwakabili wachimbaji wa dhahabu.

Tayari tumepita na point Tatu za WANA UJIJI KIGOMA.  twenzetu tukachukuwe za Kule TABORA, alafu turudi pale kwa LUPASO A...
04/02/2024

Tayari tumepita na point Tatu za WANA UJIJI KIGOMA. twenzetu tukachukuwe za Kule TABORA, alafu turudi pale kwa LUPASO Azam nae akale za uso. Simba SC Tanzania SIMBA NI JAMII YETU ❤

Karibu Simba SC, Fabrice Ngoma.Taarifa zaidi kwenye Simba App.
14/07/2023

Karibu Simba SC, Fabrice Ngoma.

Taarifa zaidi kwenye Simba App.

Karibu Simba SC Meneja mpya wa timu na Mkuu wa Sayansi ya Michezo, Mikael Igendia.
06/07/2023

Karibu Simba SC Meneja mpya wa timu na Mkuu wa Sayansi ya Michezo, Mikael Igendia.

Mechi za Africa Super League zitachezwa katika miji ya • Cairo• Casablanca • Pretoria• Dar es Salaam • Lubumbashi • Aba•...
05/07/2023

Mechi za Africa Super League zitachezwa katika miji ya

• Cairo
• Casablanca
• Pretoria
• Dar es Salaam
• Lubumbashi
• Aba
• Luanda
• Tunis

ℹ️ Draw itafanyika mwezi September hiia Ni kutokana na wadhamini walivyotak

ℹ️ Itakuwa October na Ni kuanzia robo fainal nusu fainal na fainal.

ℹ️ Mechi zitakuwa za nyumbani na ugenini baada ya draw kutoka kwenye makundi 2.

Timu zitakazoshiriki ni:

1. Al Ahly 🇪🇬
2. Sundowns 🇿🇦
3. ES Tunis 🇹🇳
4. Wydad 🇲🇦
5. Simba 🇹🇿
6. Petro Luanda 🇦🇴
7. TP Mazembe 🇨🇩
8. Enyimba 🇳🇬

|
Ameandika Micky Jnr African Football Journalist

Karibu Simba SC, W***y Essomba Onana.Taarifa kamili kuhusu usajili wake inapatikana kwenye Simba App.
05/07/2023

Karibu Simba SC, W***y Essomba Onana.

Taarifa kamili kuhusu usajili wake inapatikana kwenye Simba App.

𝐖𝐚𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐒𝐚𝐚 𝟕:𝟎𝟎 𝐌𝐜𝐡𝐚𝐧𝐚𝐒𝐢𝐟𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐜𝐡𝐞 𝐳𝐚 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐦𝐩𝐲𝐚Huu ndo usajili bora tangu dirisha la usajili lifu...
05/07/2023

𝐖𝐚𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐒𝐚𝐚 𝟕:𝟎𝟎 𝐌𝐜𝐡𝐚𝐧𝐚

𝐒𝐢𝐟𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐜𝐡𝐞 𝐳𝐚 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐦𝐩𝐲𝐚

Huu ndo usajili bora tangu dirisha la usajili lifunguliwe msimu huu nchini Tanzania
Mchezaji anatoka Taifa la mpira
Mchezaji amefunga magoli mengi
Mchezaji ana assist nyingi
Mchezaji ana tuzo nyingi
Mchezaji anatokea kulia, kushoto, katikati
Mchezaji huko alikotoka timu pinzani zimeshukuru kuondoka kwake maana alikua anawatesa
Mchezaji bado kijana na ana uwezo mkubwa
Mchezaji ana uwezo wa kuchezea mpira na kupiga mashuti ya mbali

𝐇𝐚𝐩𝐚 𝐭𝐮𝐦𝐞𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐦𝐜𝐡𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢

Address

Nyerere Road
Geita

Telephone

+255762977679

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when WANA SIMBA Sports CLUB posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to WANA SIMBA Sports CLUB:

Share

Category