Emil Sports

Emil Sports Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Emil Sports, Sports Event, Dodoma.

Polisi wamefika nyumbani kwa Mzee Kilomoni maeneo ya Block 41 Kinondoni kuzuia mkutano aliouhitisha dhidi ya waandishi w...
25/07/2019

Polisi wamefika nyumbani kwa Mzee Kilomoni maeneo ya Block 41 Kinondoni kuzuia mkutano aliouhitisha dhidi ya waandishi wa habari leo Alhamisi 😁

Wachezaji wa klabu ya Simba walioitwa timu ya taifa wameshaungana na wenzao kwenye kambi ya timu ya taifa
25/07/2019

Wachezaji wa klabu ya Simba walioitwa timu ya taifa wameshaungana na wenzao kwenye kambi ya timu ya taifa

Klabu ya Everton imeanza mazungumzo na klabu ya Juventus kwa lengo la kumsajili Moise Kean
25/07/2019

Klabu ya Everton imeanza mazungumzo na klabu ya Juventus kwa lengo la kumsajili Moise Kean

Viingilio siku ya wananchi
25/07/2019

Viingilio siku ya wananchi

Tarehe k**a ya leo mwaka 2008 Lionel Messi rasmi alikabidhiwa jezi No.10 iliyo kuwa ikivaliwa na Ronaldinho
25/07/2019

Tarehe k**a ya leo mwaka 2008 Lionel Messi rasmi alikabidhiwa jezi No.10 iliyo kuwa ikivaliwa na Ronaldinho

PSG wametambulisha jezi zao mpya 2019/2020
25/07/2019

PSG wametambulisha jezi zao mpya 2019/2020

Klabu ya Liverpool imemaliza Pre-seaon yake huko nchini Marekani ambako imecheza Michezo mitatu ambayo ni   ▶Liverpool 2...
25/07/2019

Klabu ya Liverpool imemaliza Pre-seaon yake huko nchini Marekani ambako imecheza Michezo mitatu ambayo ni
▶Liverpool 2-3 Borusia Dortmund
▶Liverpool 1-2 Sevilla
▶Liverpool 2-2 Sporting Cp

Address

Dodoma

Telephone

+255744378578

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Emil Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category