wakongwe jogging club & community

wakongwe jogging club & community Wakongwe Jogging club & community
ni klabu ya kizawa kutoka Mbande-Chamazi

17/11/2025

Wakongwe Bado Tupo!

Katika kukaribisha siku hii pendwa ya jumamosi tarehe 15/11/2025 WAKONGWE tumeamua kufanya mazoezi ya viungo an arobics ...
15/11/2025

Katika kukaribisha siku hii pendwa ya jumamosi tarehe 15/11/2025 WAKONGWE tumeamua kufanya mazoezi ya viungo an arobics palepale New kakonko launge

BILA KUSAHAU BIRTHDAY YA MKONGWE MWENZETU DJ.MANYWELE

Karibuni sana ujumuike nasi leo kwa maendeleo ya mazoezi yako...








.NA.KAKONKO
.TUPO

27/09/2025

Jambo la kuzingatia 📌

Pongeza kwa Jogging yetu ya Wakongwe Jongging Club & Community kufikisha mwezi mmoja mpaka sasa haikuwa rahisi tunamshuk...
27/09/2025

Pongeza kwa Jogging yetu ya Wakongwe Jongging Club & Community kufikisha mwezi mmoja mpaka sasa haikuwa rahisi tunamshukuru Mungu 🥳🥳🥳🥳🥳






Matukio ya picha katika kilele cha kakonko Bonanza 2025. 🏃‍♂️🏃‍♀️
20/09/2025

Matukio ya picha katika kilele cha kakonko Bonanza 2025. 🏃‍♂️🏃‍♀️






Safari ya kilomita elfuu moja, huanza na atua moja.Kila hatua ya wakongwe jogging club & community  Imebeba juhudi thabi...
07/09/2025

Safari ya kilomita elfuu moja, huanza na atua moja.
Kila hatua ya wakongwe jogging club & community
Imebeba juhudi thabiti kujenga mafanikio ya wote karibuni sana WAKONGWE...( AFYA, UTU, na MSHIKAMANO)

Abrah Ibrahim Mwalimu Gombera Dullah Tapa Tunu Lugombe Efm Jogging Temeke jogging association TEJA Calfonia YA Upendo Club Tz Club Jogging Updates

07/09/2025

Furaha ya wakongwe jogging club & community ni kuona inazidi kukua kwa kila hatua tunamshukuru Mungu maana yeye ndio muweza wa yote (AFYA, UTU, USHIKAMANO) tunasonga mbele...karibuni WAKONGWE JOGGING CLUB- MBANDE CHAMAZI

Temeke jogging association TEJA Efm Jogging Efm Jogging Club Chamazi

Address

Chamazi
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when wakongwe jogging club & community posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category