Tanzania Safari Bookings

Tanzania Safari Bookings SAFARI BOOKINGS JUST GOT EASIER. We are a digital platform designed to offer a seamless and efficient way to book safari packages.

Experience the thrill of exploring Tanzania's iconic destinations with CONVENIENCE and AFFORDABILITY!

Day 2 TAHLISO WASOMI TOUR - Napuru Waterfalls TrailWe started this day by breath-taking 260+ or so steps down the valley...
31/03/2026

Day 2 TAHLISO WASOMI TOUR - Napuru Waterfalls Trail

We started this day by breath-taking 260+ or so steps down the valley towards the misty, breathtaking Napuru Waterfalls.
The beauty is unmatched!

Ice-cold clear waters, beautiful river valley with steep lush banks, massive trees, wild flowers & fruits, all accompanied us a long the way, but above all, nothing beats the cool fresh air running through your nose!

Wasomi will definitely be back!



TAHLISO WASOMI TOUR - Hifadhi ya Taifa Tarangire.Ulikuwa wakati mzuri sana tuliposhiriki kukamilisha safari hii maalum k...
31/03/2026

TAHLISO WASOMI TOUR - Hifadhi ya Taifa Tarangire.

Ulikuwa wakati mzuri sana tuliposhiriki kukamilisha safari hii maalum kwa wanafunzi wa vyuo vikuu iliyoanzia Hifadhi ya Taifa Tarangire.
Mbuga hii yenye sifa ya Mibuyu mingi, makundi makubwa ya Tembo, Mto Tarangire, imesheheni pia mandhari nzuri ya nyanda zilizojazwa kwa Wanyama wengine wengi.

Kwa bahati ya kipekee, wanafunzi walijionea Chui akiwa mawindoni, akinyemelea kwa utulivu kundi la Swala Pala.

Uoto kijani mzuri wa nyasi, miti na bonde la mto Tarangire, limeifanya safari hii kuwa isiyosahaulika.

Pembezoni tu mwa Hifadhi, wanafunzi walipata fursa ya kutembelea Boma la Kimaasai na kupata fursa ya kujifunza mila, desturi na tamaduni za kabila hili maarufu katika kutunza taratibu zao za maisha tangu kale.

Hii ilikuwa ni 'Day 1' katika safari ya siku 2.

Hakika, Safari hii ilikuwa mwanzo bora wa mfululizo wa safari za aina hii kupitia kamisheni ya utalii Jumuia ya Serikali za Wanafunzi TAHLISO.




Mabasi ya Kwanza kuelekea Moshi siku ya Kili Marathon 2026 yataondoka saa 9 Kamili Usiku. Mabasi haya yatakuwa maalum kw...
09/03/2026

Mabasi ya Kwanza kuelekea Moshi siku ya Kili Marathon 2026 yataondoka saa 9 Kamili Usiku.

Mabasi haya yatakuwa maalum kwa wale Wakimbiaji wanaohitaji kufika mapema kwenye Viwanja vya mbio pale Chuo Kikuu Ushirika Moshi.

Awamu ya Pili ya Mabasi itaondoka saa 10 Kamili Alfajiri.

Ikiwa unahitaji kufika mapema kabisa, tumia mabasi haya ya kwanza.

🚌 Kituo cha kupanda ni Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, fika mapema kabla ya saa 9 kamili.

πŸ“Œ Bonyeza link πŸ”— hapo kwenye Bio, itakupeleka kuchagua Basi, Siti halafu utalipia moja kwa moja kirahisi bila usumbufu.

Siku ya Mbio ni Jumapili tarehe 22 Machi 2026

πŸŒ™ Safari ya Siku 1 – Ngorongoro CraterSherehekea sikukuu ya Eid al‑Fitr kwa safari maalum ya siku 1 kwenda Ngorongoro ta...
07/03/2026

πŸŒ™ Safari ya Siku 1 – Ngorongoro Crater

Sherehekea sikukuu ya Eid al‑Fitr kwa safari maalum ya siku 1 kwenda Ngorongoro tarehe 22 Machi (Jumapili).

Mandhari ya kipekee, wanyamapori na hewa safi vitakufanya uisherehekee sikukuu kwa namna tofauti.

🎟 Chagua siti na lipia moja kwa moja kupitia: www.mytanzaniasafari.app⁠ 🌐
Link πŸ”— on Bio

πŸ“ž Au piga simu 0789112501 kwa usaidizi wa haraka.

Eid Mubarak Ngorongoro Crater Tour



Eid El-Fitr hii, tusherehekee kwa mtindo wa kipekee na wa maana!Baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani – mwezi wa subira, i...
04/03/2026

Eid El-Fitr hii, tusherehekee kwa mtindo wa kipekee na wa maana!

Baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani – mwezi wa subira, ibada na kujitafakari – ni wakati wa kufurahia neema za Mwenyezi Mungu kwa kuungana na ndugu, jamaa na marafiki katika mazingira safi na ya utulivu.

Jiunge nasi kwa safari ya siku 1 ndani ya
Huko utapata:
πŸ“Œ Mandhari tulivu zenye kumkumbusha Muumba
✨ Hewa safi na utulivu wa moyo baada ya Ramadhani
🐡 Wanyamapori wazuri k**a twiga na nyani weupe (colobus)
πŸ‰ Picnic ya pamoja katika mazingira ya asili

Eid si chakula na mavazi mapya tu β€” ni kujenga undugu, kuimarisha mahusiano na kushukuru kwa pamoja. Safari hii ni fursa adhimu ya kusherehekea kwa njia halali, yenye staha na yenye kuleta furaha ya kweli.

πŸŽ‰ Tumalize Ramadhani kwa furaha, mshik**ano na kumbukumbu zisizosahaulika.

πŸ’Ί Lipia Siti Yako kirahisi kwa kumtembelea
🌐 www.mytanzaniasafari.app
Au
πŸ“² Wasiliana nasi mapema kuhifadhi nafasi yako.
+255 789 112 501



Twenzetu Kili Marathon 2026 na  Si lazima ukimbie… Twende Tukawashangilie Wakimbiaji!Unaenda Kili Marathon kwa burudani ...
02/03/2026

Twenzetu Kili Marathon 2026 na

Si lazima ukimbie… Twende Tukawashangilie Wakimbiaji!

Unaenda Kili Marathon kwa burudani tu?
Hili Basi ni lako! 🚌
πŸ“ Kuondoka Arusha: Saa 12:00 kamili Asubuhi
πŸ“ Kuondoka kutoka Moshi: Saa 9:00 kamili Alasiri

Tshs. 18,000 Tu!

Gharama inajumuisha Soft Drinks, Snacks & Bites 🍹πŸ₯¨ β€” safari iwe ya furaha mwanzo hadi mwisho!

Twende ushuhudie shamrashamra, piga picha, shangilia washiriki na ufurahie vibe ya marathon bila stress ya usafiri.

🎟️ Lipa siti yako sasa kupitia:
🌐 www.mytanzaniasafari.app⁠
Au
πŸ“ž piga simu 0789112501 kwa msaada zaidi.

Tukafanye Moshi iwe ya shangwe! πŸ₯³πŸ”₯



Safari ya Marathon Iwe Rahisi, Salama na ya Furaha!Kwa mara ya kwanza kabisa, MyTanzaniaSafariApp imeandaa utaratibu maa...
27/02/2026

Safari ya Marathon Iwe Rahisi, Salama na ya Furaha!

Kwa mara ya kwanza kabisa, MyTanzaniaSafariApp imeandaa utaratibu maalum wa mabasi kwa ajili ya kusafirisha washiriki wa Kili International Marathon kutoka Arusha kwenda Moshi na kuwarudisha salama baada ya mbio.

K**a unavyojua, kila mwaka changamoto kubwa imekuwa ni usafiri β€” kuchelewa, kupanda bei ghafla, au kukosa kabisa gari.
Sasa tumekuja na suluhisho rahisi na la uhakika.

βœ… Faida za kutumia mabasi yetu:

πŸ•’ Kuondoka kwa wakati
Ratiba maalum kuhakikisha unafika mapema kabla ya mbio kuanza

🚌 Usafiri wa pamoja
Furahia safari na washiriki wenzako, jenga motisha hata kabla ya kuanza kukimbia

πŸ’° Gharama nafuu na wazi
Hakuna bei za kushtukiza siku ya tukio

πŸ” Return guaranteed
Baada ya kumaliza mbio, gari linakusubiri kukurudisha Arusha bila usumbufu

πŸ›‘οΈ Utulivu wa akili
Jikite kwenye maandalizi ya mbio, sisi tunasimamia safari
πŸ‘‰ Bofya 🌐 www.mytanzaniasafari.app sasa kulipia nafasi yako.
🎟️ Nafasi ni chache β€” hakikisha umejiwekea kiti mapema!

Tukimbie pamoja, tusafiri pamoja! πŸ’š
Disclaimer:: Hii siyo huduma rasmi ya waandaaji wa marathon, bali ni mpango maalum wa usafiri ulioratibiwa na MyTanzaniaSafariApp kuhakikisha washiriki wanapata urahisi wa kufika na kurudi.



Group Safaris are best enjoyed in groups.Book yours at www.mytanzaniasafari.appEasy | Convenient | Effective
25/01/2026

Group Safaris are best enjoyed in groups.

Book yours at www.mytanzaniasafari.app

Easy | Convenient | Effective



Utalii Sasa Ni RahisiTembelea Hifadhi yoyote uipendayo kwa kupangilia kirahisi. Mfumo mpya wa Utalii-Kidigitali wa🌐 www....
20/01/2026

Utalii Sasa Ni Rahisi

Tembelea Hifadhi yoyote uipendayo kwa kupangilia kirahisi.

Mfumo mpya wa Utalii-Kidigitali wa
🌐
www.mytanzaniasafari.app

unakuwezesha KUCHAGUA na KULIPIA Safari za kitalii kwa kulipia SITI yako tu ama kuchagua Gari ili kufanya utalii.

Ni Rahisi, salama na inaokoa muda & pesa.

Tupigie πŸ€™ 0789112501 leo kwa maelezo rahisi na msaada.

πŸ“Έ , watalii wakifurahia Wanyama, mandhari na vivutio vya Hifadhi hii pekee.




Utalii wa Ndani Tanzania Umerahisishwa KidigitaliSasa kupanga safari za kitalii ni rahisi na wazi zaidi kupitia🌐 www.myt...
11/01/2026

Utalii wa Ndani Tanzania Umerahisishwa Kidigitali

Sasa kupanga safari za kitalii ni rahisi na wazi zaidi kupitia

🌐 www.mytanzaniasafari.app

Mfumo huu unakuwezesha ku-book na kulipia safari papo hapo β€” haraka, salama na bila usumbufu.

Utalii si wa mwisho wa mwaka pekee; ni shughuli ya mwaka mzima.

Panga safari zako wakati wowote, chagua unachotaka, na uendelee kufurahia uzuri wa Tanzania kwa urahisi wa kisasa.

Chagua. Lipia. Go.

Tupigie πŸ€™ 0789112501 kwa mawasiliano zaidi.



Je, unakumbuka kwamba mnyama Ngiri (Kasongo) ni jamii mojawapo ya Nguruwe Pori au Nguruwe Mwitu?Kwamba yupo mwingine mas...
06/01/2026

Je, unakumbuka kwamba mnyama Ngiri (Kasongo) ni jamii mojawapo ya Nguruwe Pori au Nguruwe Mwitu?
Kwamba yupo mwingine mashuhuri kwa jina jumla la "Nguruwe Pori" - wild hog?

Ngiri yuko kwa wingi zaidi Afrika hasa kwenye Mbuga zetu hapa Tanzania na huonekana kirahisi nyakati za mchana tofauti na Nguruwe Mwitu ambao ni nadra sana kuwaona.

πŸ“Έ , uwanda wa mbogo, sehemu ambapo wanyama hupatikana kwa wingi na ndipo eneo ambalo utalii wa kutembea kwa miguu hufanyika na kutoa mandhari ya kipekee kwa watalii.

🌐 Tembelea www.mytanzaniasafari.app πŸ‘‰ πŸ–±οΈ Chagua Private Safari

Tutakuandalia safari yako mahsusi!

Au tupigie πŸ€™ 0789112501 kwa mawasiliano zaidi.



Address

Livingstone/Market Street
Dar Es Salaam
231

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Safari Bookings posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzania Safari Bookings:

Share