Dengah MEDIA TZ B

Dengah MEDIA TZ B “Michezo & Burudani | Taarifa za uhakika | Trending Stories”

TASWIRAYes Sikubaliani hata Kidogo na tabia ya Ally Kamwe kuwashawishi mashabiki kuchangia pesa Katika vitu potofu ambav...
12/05/2026

TASWIRA

Yes Sikubaliani hata Kidogo na tabia ya Ally Kamwe kuwashawishi mashabiki kuchangia pesa Katika vitu potofu ambavyo klabu imefanya.

Haya ni matusi kwa mamlaka kitendo cha 31M kupatikana ndani ya saa 1000 ni ishara tosha kuwa tutafanya tena na mashabiki watalipa.

Sikatai pamoja na ubora aliona Kamwe lakini ukubwa wa klabu hii humbeba ndio maana anaweza kuamka asubuhi

na kusema mashabiki wote wa Yanga mnyoe vipara na mashabiki wakafuata bila shuruti

🗣Paul mkai kutoka crown sports

11/05/2026

MASHABIKI WA WESTHAM WAMPIGA SHABIKI WA ARSENAL BAADA YA KUFUNGWA JANA.

Natamani Yanga wajifunze kuheshimu kanuni k**a ambavyo Simba wamefanyaKwenye adhabu ambazo zimetolewa, Simba hawajapigwa...
11/05/2026

Natamani Yanga wajifunze kuheshimu kanuni k**a ambavyo Simba wamefanya

Kwenye adhabu ambazo zimetolewa, Simba hawajapigwa faini hata mara Moja kwasababu waliweza kuheshimu kanuni

Msingi bora wa timu ni kuheshimu sheria na kanuni zake, tumeona Simba wameweza kuheshimu hilo

Natamani Yanga nao waheshimu hizo sheria na kanuni ili mpira wetu uweze kusogea zaidi

Ikifika wakati hizi timu mbili zikaheshimu kanuni itakuwa rahisi kwa hizi timu zingine kufuata kanuni

🗣Alex Ngereza kutoka Tv3

11/05/2026

KWANINI SIMBA IMEKUWA KLABU BORA YA KIUME 2025?

VIGEZO VYA BMT NI VIPI KUIPA SIMBA KLABU BORA KIUME 2025?

UFAFANUZI WOTE HAPA👇

Meneeja Habari na Mawasiliano klabu ya yanga Alikamwe anauliza wanachi walete Lipa namba au wasilete.Hii ni baada ya kla...
11/05/2026

Meneeja Habari na Mawasiliano klabu ya yanga Alikamwe anauliza wanachi walete Lipa namba au wasilete.Hii ni baada ya klabu ya yanga kupigqa faini milioni 30 kwa kutotumia chumba cha kubadilishia nguo(dressing room).

Meneja wa Klabu ya Yanga, Walter Harson amefungiwa michezo (3) mitatu na kutozwa faini ya Tsh. 1,000,000 (milioni moja) ...
11/05/2026

Meneja wa Klabu ya Yanga, Walter Harson amefungiwa michezo (3) mitatu na kutozwa faini ya Tsh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kumsukuma mchezaji wa Simba SC, Clatous Chota Chama kwenye mchezo wa Dabi ya Kariakoo.

Yanga SC imetozwa faini ya shilingi milioni 30 (Milioni Thelathini) kwa kosa la wachezaji na maofisa wake wa ufundi kuka...
11/05/2026

Yanga SC imetozwa faini ya shilingi milioni 30 (Milioni Thelathini) kwa kosa la wachezaji na maofisa wake wa ufundi kukataa kutumia chumba rasmi cha kuvalia kwenye uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo na badala yake walitumia nyumba iliyo nje ya uwanja.

Je ni sahihi yanga kutozwa faini miilioni therathini(30M)?

  SIMBA SC4️⃣🆚️0️⃣T.PRISONS⚽️Maurice Abraham ⚽️Chama⚽️Mwalimu⚽️Toure
10/05/2026



SIMBA SC4️⃣🆚️0️⃣T.PRISONS

⚽️Maurice Abraham
⚽️Chama
⚽️Mwalimu
⚽️Toure

 FULLTIME WEST HAM0️⃣🆚️1️⃣ARSENAL ⚽️L. Trossard 83
10/05/2026



FULLTIME

WEST HAM0️⃣🆚️1️⃣ARSENAL

⚽️L. Trossard 83

  HALTIME SIMBA SC3️⃣🆚️0️⃣PRISONS ⚽️Maurice Abraham ⚽️Chama⚽️Mwalimu
10/05/2026



HALTIME

SIMBA SC3️⃣🆚️0️⃣PRISONS

⚽️Maurice Abraham
⚽️Chama
⚽️Mwalimu

  WEST HAM0️⃣🆚️0️⃣ARSENAL
10/05/2026



WEST HAM0️⃣🆚️0️⃣ARSENAL

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dengah MEDIA TZ B posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dengah MEDIA TZ B:

Share