YANGA FANS worldwide

YANGA FANS worldwide thefansofyangafamilly

AMEANDIKA FARHAN KIHAM ✍️⤵️Hawa Yanga wana mpango gani, mbona ghafla sana? Ni ghafla tu unamwona Pacome katikati ya Dick...
26/12/2024

AMEANDIKA FARHAN KIHAM ✍️⤵️

Hawa Yanga wana mpango gani, mbona ghafla sana? Ni ghafla tu unamwona Pacome katikati ya Dickson Job na Ibrahim Hamad, ni ghafla tu unamwona Kibwana k**a Winger halafu Khalid Aucho yupo nafasi ya Kibabage na Kibabage yupo juu k**a Winger, ghafla tu Aziz yupo Area 14 na humwoni Mzize yupo wapi? Ghafla tu hujui Prince Dube anatokea wapi, ghafla unahisi k**a Yanga wapo wengi uwanjani, mbona ghafla sana😀

Wananchi kuwasema kidogo tu mnaleta tabia za Wamakonde? Yaani wanakuuzia kiwanja ila korosho zikikomaa wanakuja kuvuna wao😀

Kutoka kwa
26/12/2024

Kutoka kwa

YANGA 2-0 JKT
22/10/2024

YANGA 2-0 JKT

Kikosi cha TAIFA STARS
22/10/2024

Kikosi cha TAIFA STARS

Line up
22/10/2024

Line up

21/10/2024

Class imeamuaa

FT’|   Ken Gold 0-1 Young Africans SC
25/09/2024

FT’|

Ken Gold 0-1 Young Africans SC


Wanaume 16 kumuwania mwali mmoja kutoka CAFCL 2024/25 nani atakuwa mbabe?? Itafahamika droo ya makundi ni October 7, 202...
25/09/2024

Wanaume 16 kumuwania mwali mmoja kutoka CAFCL 2024/25 nani atakuwa mbabe?? Itafahamika droo ya makundi ni October 7, 2024

Match day vs Ken gold Sokoine patachimbika follow YANGA FANS worldwide
25/09/2024

Match day vs Ken gold
Sokoine patachimbika follow YANGA FANS worldwide

Address

Temeke
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when YANGA FANS worldwide posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category