Yanga On Fire

Yanga On Fire Ofiicial account ya YANGA ON FIRE. Karibuni sana mashabiki wenzetu wa YOUNG AFRICA SC.

MKUBWA NA WANA
03/06/2026

MKUBWA NA WANA

03/06/2026
31/05/2026
Uongozi na wanachama wa Tawi la  una watakia kheri ya EID AL ADHA kwa waislam wote na wasio kua waislam πŸ’šπŸ’›Kwa maelezo za...
27/05/2026

Uongozi na wanachama wa Tawi la una watakia kheri ya EID AL ADHA kwa waislam wote na wasio kua waislam πŸ’šπŸ’›

Kwa maelezo zaidi tuna omba muwasiliane na katibu MIDO
πŸ˜€πŸ™Œ

EID AL ADHA MUBARAK β­πŸŒ™

22/05/2026

Tunapofurahia ushindi, tawi kubwa linakuleta nyimbo kali 🎢🎡 goma la kwenda na mwamba mwenyewe πŸ”₯πŸ”₯

Tulicheze goma mpaka speaker zipasuke😎
πŸ”₯πŸ”₯πŸ’šπŸ’›

18/05/2026

Leo amezaliwa mwananchi kabsa πŸ’šπŸ’›
Sio mwingine ni COMRED πŸŽ‚

Tawi lako la tuna kutakia kheri na Baraka katika maisha yako Mungu akujalie maisha marefu yenye afya njema. 🀲🀲🀲

HAPPY BIRTHDAY COMRED HADIJA πŸŽ‚πŸŽ‚

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
πŸŽ‚πŸŽ‰πŸŽ

Address

Temeke
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yanga On Fire posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Yanga On Fire:

Share

Category