Mcsmile events

Mcsmile events Best Mc for all events 0657107416

Je! Unatafuta Mc wa shughuli yako? Hapa upo sehemu sahihi    ni chaguo la pekee kwa shughuli yako.
22/01/2026

Je! Unatafuta Mc wa shughuli yako? Hapa upo sehemu sahihi ni chaguo la pekee kwa shughuli yako.

2026 Tumechagua kufurahi na
12/01/2026

2026 Tumechagua kufurahi na

10/01/2026

Malkia kwenye himaya yake

10/01/2026

Kwani Gen Z muda wa kujifunza hutu tustep mnatoaga wapiiii🤣🤣. Anyway baada ya wazaz wakafuata hawa warembo. Habari njema ni kwamba ni wanafunzi na hawana simu😎😎...What next???👉👉

10/01/2026

Usiku wa Asnath Shughuli ilianzia hapa, wazazi wakahudhurishwa ukumbini na kuwatakia heri ya mwaka mpya wageni wao wote waliowaalika.....Kilichofuata sasa angalia post inayofuata👉👉

10/01/2026
09/01/2026

Neno Ebenezer umelisikia mara nyingi sana lakini ngoja nikwambie hii👇

Hii sio nyimbo hii ni ibada kamili nyumbani kwako, ofisini kwako na popote unapokuwa. Aliyoyatenda Mungu Yeye ni Ebenezer, atakayoyatenda bado Yeye ni Ebenezer. Subscribe channel ya Mtumishi wa Mungu

08/01/2026

Unahitaji Mshereheshaji (Mc) mzuri  wa kipekee kwa ajili ya tukio lako?

Upo sehemu sahihi✔
Nakupatia👇
🔘MC SERVICE- Burudani, Mpangilio&ufanisi wa matukio, nadhifu&mahiri wa lugha.

🔘MUSIC SYSTEM- Sauti nzuri, usikivu.
🔘WEDDING CARS- Gari zuri la ndoto yako

🔘MAIDS&GROOMSMEN- Warembo wenye mvuto, Watanashati, nidhamu&vibe.

🔘LIVE MUSIC PERFOMANCE- Zitaimbwa live nyimbo utakazochagua. (lugha: Kiswahili, Kiingereza, Kifaransa)

Harusi | Sendoff | Corporate | Events zote

Wasiliana Nasi Mapema: 0744329096
Tupo kufanikiwa tukio lako.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mcsmile events posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mcsmile events:

Share

Category