Gafla Tanzania

Gafla Tanzania Jisikie huru kufuatilia Gafla Tanzania.
● Habari
● ️Burudani
● ️Mahojiano
● Filamu

09/12/2024


Rais Samia Suluhu Hassan amewasamehe wafungwa 1548 kuadhimisha miaka 63 ya uhuru.

Follow Gafla Tanzania

09/12/2024

Diamond pamoja na Fally Ipupa na Simi waingia studio tena huko Paris, Ufaransa


Follow Gafla Tanzania

 Mwijaku threatens that W***y Paul will not see it through to next year: "Nimwambie W***y Paul umeingia choo cha k**e. U...
09/12/2024


Mwijaku threatens that W***y Paul will not see it through to next year: "Nimwambie W***y Paul umeingia choo cha k**e. Ukivuka huu mwaka salama kuelekea mwaka wa 2025 mi sio Mwijaku"

 William Samoei Ruto I had a productive meeting with Retired President Uhuru Kenyatta during my visit to his Gatundu res...
09/12/2024


William Samoei Ruto I had a productive meeting with Retired President Uhuru Kenyatta during my visit to his Gatundu residence, where we talked about national and regional concerns.

I expressed my gratitude for his ongoing contributions as a national leader and for his efforts in promoting peace within the region.

We emphasized the need for a swift resolution of the court issues regarding the IEBC and advocated for backing former Prime Minister Raila Odinga's candidacy for the Chair of the African Union Commission.

  Bainisha ni nani bora kati ya Diamond Platinumz na W***y Paul?
09/12/2024


Bainisha ni nani bora kati ya Diamond Platinumz na W***y Paul?

  DEM WA FB  ana enjoy maisha na akiwa Dubai"Wacha niseme initoke 🫣🫣🫣 nimekunywa majiii sanaaa swimming si yanguu"
09/12/2024


DEM WA FB ana enjoy maisha na akiwa Dubai
"Wacha niseme initoke 🫣🫣🫣 nimekunywa majiii sanaaa swimming si yanguu"

  Aliyekuwa rais wa Ghana, John Dramani Mahama, anatarajiwa kurudi kwa wadhifa huo baada ya makamu wa rais Mahamudu Bawu...
09/12/2024


Aliyekuwa rais wa Ghana, John Dramani Mahama, anatarajiwa kurudi kwa wadhifa huo baada ya makamu wa rais Mahamudu Bawumia, ambaye ni mgombea wa chama tawala, kukubali kushindwa katika uchaguzi wa rais.
Kabla ya kutolewa kwa taarifa rasmi, Bawumia aliwaambia waandishi wa habari kwamba anaheshimu maamuzi ya wapiga kura na kwamba tayari amemfahamisha Mahama kwa simu kwa kumpongeza k**a rais mteule.

Follow Gafla Tanzania

  Assad alikimbia nchi baada ya waasi kuiteka mji mkuu, Damascus, na kutoa agizo kwamba kubadilishana kwa madaraka kufan...
09/12/2024


Assad alikimbia nchi baada ya waasi kuiteka mji mkuu, Damascus, na kutoa agizo kwamba kubadilishana kwa madaraka kufanyike kwa njia ya amani.

Follow Gafla Tanzania

 Leo Magazetini. Habari zinazoonekana kwenye ukurasa wa mbele wa magazeti leo, Desemba 09, 2024.
09/12/2024


Leo Magazetini. Habari zinazoonekana kwenye ukurasa wa mbele wa magazeti leo, Desemba 09, 2024.

 Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, anataka kufikia makubaliano ya...
08/12/2024


Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, anataka kufikia makubaliano ya kumaliza vita kati ya Urusi na Ukraine baada ya kukutana naye mjini Paris.

Katika ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii, Trump alisisitiza kwamba Zelensky anataka kusitisha vita, akionyesha haja ya kuwa na mapokezi ya haraka ya mazungumzo.

Trump alionya kwamba maisha ya wengi yamepotea na kwamba bila hatua za haraka, mzozo huu unaweza kuendelea na kuwa mbaya zaidi.

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, alihudhuria mkutano huo kati ya viongozi hao wawili katika kasri la Elysee jana, huku ikiwa ni takriban miaka mitatu tangu Moscow ilipoanza uvamizi wa kijeshi wa Kiev, na likiwa ni wiki chache kabla ya Trump kuapishwa rasmi tarehe 20 Januari.

Follow tanzania

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gafla Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category