Wakali kwanza

Wakali kwanza michezo ni afya, michezo ni maisha.

Magazeti ya leo August 1 .2017
01/08/2017

Magazeti ya leo August 1 .2017

Antonio griezman akifunga bao kwa mkwaju wa penati dhidi ya real Madrid. Atletico Madrid walishinda 2_1 ila waliondolewa...
11/05/2017

Antonio griezman akifunga bao kwa mkwaju wa penati dhidi ya real Madrid. Atletico Madrid walishinda 2_1 ila waliondolewa kwa utofauti wa mabao. (2_4)

Fainali ya historia.    Je ni juventus au real Madrid.
11/05/2017

Fainali ya historia.
Je ni juventus au real Madrid.

Leicester city 1_ atletico de Madrid 1
19/04/2017

Leicester city 1_ atletico de Madrid 1

Mshambuliaji wa Leicester city Jamie vardy akiwa amelala chini baada ya kutoka sare ya kufungana moja kwa moja dhidi ya ...
19/04/2017

Mshambuliaji wa Leicester city Jamie vardy akiwa amelala chini baada ya kutoka sare ya kufungana moja kwa moja dhidi ya Atletico de Madrid katika uwanja wa King power uingereza.

Cristiano Ronaldo amefunga mabao 5 katika mechi mbili dhidi ya bayern munchen. Na kuweza kuipeleka timu yake katika hatu...
19/04/2017

Cristiano Ronaldo amefunga mabao 5 katika mechi mbili dhidi ya bayern munchen. Na kuweza kuipeleka timu yake katika hatua ya nusu fainal.

Uefa champion league
19/04/2017

Uefa champion league

CRISTIANO RONALDO   Ni Jina linalotamkwa kwa wingi midomoni mwa wapenda soka duniani kote baada ya kuisaidia timu yake k...
07/07/2016

CRISTIANO RONALDO
Ni Jina linalotamkwa kwa wingi midomoni mwa wapenda soka duniani kote baada ya kuisaidia timu yake kutinga hatua ya fainali kwa jumla ya mabao 2-0 , akiifungia bao moja na kutoa pasi iliyozaa bao dhidi ya Wales katika uwanja wa Parc ol ufaransa.

Klabu ya Manchester United imelizia kumuacha aliyekuwa kocha msaidizi Ryan giggs kwenda kuendeleza kazi yake ya ukocha k...
03/07/2016

Klabu ya Manchester United imelizia kumuacha aliyekuwa kocha msaidizi Ryan giggs kwenda kuendeleza kazi yake ya ukocha kunako vilabu vingine

Borrusia dortmond wamethibitsha kumuuza kiungo wao harrikh kwenda katika klabu ya Manchester United
03/07/2016

Borrusia dortmond wamethibitsha kumuuza kiungo wao harrikh kwenda katika klabu ya Manchester United

Address

Mbezi Beach_dar City
Dar Es Salaam
DAR_ES_SALAAM

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wakali kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category