pina_perfum

pina_perfum Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from pina_perfum, Dar es Salaam.

20/08/2026

Karibuni PERFUME

🌸Tuna hii SUGER CANDY ni perfume tamu sana kwa wale wanaopenda smell sweet ni balaa utaipata PERFUME kwa very affordable

📍Kkoo soko jipya Duka no 30 na 39
☎️0712497949

20/08/2026

Karibuni PERFUME

🌸Kwa wale wanaopenda kuglow na kuwa na rangi moja basi hii lotion ya EOS ni balaa ina moisturizer ya kutosha na ina kupa rangi moja

📍Kkoo soko jipya Duka no 30 na 39
☎️0712497949

20/08/2026

Karibuni PERFUME

🌸Tuna hizi Body scrub nzuri sana zinasafisha sana na kutoa nongo zote zinafanya ngozi yako kuwa na nuru na muonekano mzuri

📍Kkoo soko jipya Duka no 30 na 39
☎️0712497949

20/08/2026

Karibuni PERFUME

🌸Tuna showergel za watoto ni Nzuri sana zina moisturizer ya kutosha mtoto wako anakuwa na ngozi nzuri sana na yenye nuru

📍Kkoo soko jipya Duka no 30 na 39
☎️0712497949

20/08/2026

Karibuni PERFUME

Tuna hii BODY ZONE hair food ni Nzuri sana hii ni chakula ya nywele kwa wale ambao nywele zao zinakatika basi usikose hii hair food

📍kkoo soko jipya Duka no 30 na 39
☎️0712497949

20/08/2026

Karibuni PERFUME

🌸Tuna vitezo vizuri sana kwa wale wanaopenda kunukia oud basi PERFUME amewarahisishia mfukize kwa urahis na uku ukiendelea kufanya kazi zako

📍Kkoo soko jipya Duka no 30 na 39
☎️0712497949

20/08/2026

Karibuni PERFUME

🌸Tuna hivi vitezo vizuri sana na pia ni vikubwa na imara sana kwa wale wanaopenda kunukia oud basi PERFUME kawaletea vitezo vizuri ili msipate shida kuwafukizia wapenzi wenu wanukie vizuri

📍Kkoo soko jipya Duka no 30 na 39
☎️0712497949

20/08/2026

Fika dukani kwetu pina parfume kwa bidhaa tafuti tofaut Na bei zetu ni sawa na bure tuna tuma mikoa yote na nje ya nchi tupigie sim 0712497949 tuko karikoo sokn soko jipya duka no 30

19/08/2026

Wateja wetu vyotezo vya kufukizia uod ndio hivyo Karibuni sana dukani kwetu karikoo sokon duka no 30 0712497949

19/08/2026

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when pina_perfum posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share