07/12/2025
TAARIFA ZOTE MPYA ZA YANGA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA YANGA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE YANGA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0629013923
0629013923
Wananchi Yanga wako Dodoma ambapo leo majira ya saa 1:15 usiku watashuka katika dimba la Jamuhuri kuikabili Coastal Union katika muendelezo wa ligi kuu ya NBC
Ni mchezo mwingine muhimu kwa Yanga kuwania alama tatu muhimu mbele ya wagosi wa kaya ambao ndio wenyeji wa mchezo huo
Coastal Union wamehamisha makazi yao kwa muda kutoka jijini Tanga hadi mkoani Dodoma baada ya uwanja wa Mkwakwani kufungiwa
Mechi inayozikutanisha Yangu na Coastal Union haijawahi kuwa nyepesi. Mkufunzi wa Yanga Pedro Goncalves amekiri kuwa kwa historia na rekodi za hivi karibuni vijana wake leo wanapaswa kuwa na ubora mkubwa ili kupata ushindi
YANGA FAMILY GROUP BORA LA WHATSAPP CHIMBO LA HABARI ADMINI MKUU WHATSAPP NAMBA
0629013923
0629013923