mcmdapo

mcmdapo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from mcmdapo, Sinza, Dar es Salaam.

*Shamba la Ekari 330 linauzwa Mkuranga, Mkanoge**Distance* Kutoka Mbagala rangi tatu mpaka njia ya kuingia shambani (Ngo...
12/06/2025

*Shamba la Ekari 330 linauzwa Mkuranga, Mkanoge*

*Distance* Kutoka Mbagala rangi tatu mpaka njia ya kuingia shambani (Ngonja -Kimanzichana) ni 90 km Kilwa road na Kutoka main road (lami) mpaka unaingia ndani 17km

*Location* Maeneo ya Industrial Area

*Neighborhood* Shamba la Mzungu *(Ekari 1,200)* amepanda makadamia na mashamba mengine ya watu binafsi

*Matumizi* Agro Farm

*Vitu vilivyomo kwenye Shamba*

*Miti yote ni High Breed*

-Ndani ya Shamba kuna Teak Wood 12,500 x 800, 000 = 10 billion. *(Inavunwa baada ya miaka 10 kutoka sasa)*

-Mti wa Mkaratusi 15,000 x 150,000 = 2.25 Billion *(Inavunwa 2030)*

-Mti Kunuka (mbao nyekundu) 2,000 x 500,000 = 1 Billion *(Inavunwa miaka 8 kutoka sasa)*

-Miti ya Mchikichi (Mawese) 250

-Miti ya Mikorosho 6,000

-Minazi 1,200

-Miembe ya Kisasa 2,500

-Mindimu 1,200

-Godown Sqm 600

*Nyumba 3 za wafanyakazi*

*Nyumba 1* ina vyumba 4 na sitting room, jiko na public toilet.

*Nyumba 2* Ina vyumba viwili 2 vya kulala, sitting room, kitchen na public toilet

*Nyumba 3* Stoo ya kuhifadhia mashine na Generator

-Mabwawa ya Samaki 7

-Banda la Mbuzi

-Banda la Ng'ombe (40)

-Visima viwili vyenye urefu wa meter 130

-Minara 8 ya kuweka tank za umwagiliaji.

-Plot yenye Ekari 200 ina Hati miliki

-Plot yenye Ekari 130 imeshapandwa mawe (Surveyed)

*Umeme* umeshafika Nyamato upo umbali wa 7km mpaka kuingia shambani.

*Bei shilingi Bilioni 2.5 mazungumzo yapo*

*NOTE* Jirani Kuna nafasi ya kuongeza Ekari 2,000
Yus

SCHOOL FOR SALE AT MBEZI BEACHA primary and secondary school for sale at Mbezi Beach.Price  6bilions but negotiable It h...
12/06/2025

SCHOOL FOR SALE AT MBEZI BEACH
A primary and secondary school for sale at Mbezi Beach.Price 6bilions but negotiable
It has 4 acres
And full Documents.
Yus
Call:0752100022

VIWANJA VIZURI SANA VYA MAKAZI VINAUZWA MBAGALA KONGOWE MLAMLENI UMEME NA MAJI YAPO. GARI INAFIKA MPAKA SITE. PIKIPIKI 1...
11/06/2025

VIWANJA VIZURI SANA VYA MAKAZI VINAUZWA MBAGALA KONGOWE MLAMLENI UMEME NA MAJI YAPO. GARI INAFIKA MPAKA SITE. PIKIPIKI 1000. BAJAJI 700. TOKA LAMI YA KONGOWE.

LOC : MBAGALA KONGOWE MLAMLENI
AREA : FUTI. 50×50
PRICE : MIL 3.5
UMILIKI: HATI YA MAUZIANAO

Call:

Nb: Ukiipenda bidhaa hiii. Piga simu sms zinachelewesha

HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 30. HII HAIHUSISHI USAFIRI.
CALL:0752100022

Eneo linakodishwa lipo Boko Chama linaangalia barabara ya lami. Punguzo la Kodi kutoka 5,000,000 mpaka 4,000,000. Ukubwa...
31/05/2025

Eneo linakodishwa lipo Boko Chama linaangalia barabara ya lami. Punguzo la Kodi kutoka 5,000,000 mpaka 4,000,000.

Ukubwa
Square meters 1132 ( urefu ni meter 39 na upana 29 meter.)
Kodi Kwa mwezi: 4,000,000( Maongezi yapo).

TITLE DEED (hati miliki ya wizara ipo).

Linafaa Kwa kufanyiwa shughuli yoyote
Yard na ofisi
Ukumbi au kumbi za starehe
Showroom
Apartments
Night clubs
Duka la vifaa vya ujenzi
Guest and lodge house
Kituo Cha Mafuta (Petrol station)
Bar na restaurant
Supermarket e.t.c. Angalizo , eneo haliuzwi na haliruhusiwi kutumika k**a sehemu ya nyumba ya maombi ( ibada)
Kwa mawasiliano zaidi piga hizi namba za mhusika mkuu Call:0752100022

Tangazo la kituo kituo cha mafuta kinauzwa Kipo mbagala charambe Ukubwa wa kiwanja Sqm 1500Ina papu 3 Kuna ofisi  ina in...
30/05/2025

Tangazo la kituo kituo cha mafuta kinauzwa
Kipo mbagala charambe

Ukubwa wa kiwanja Sqm 1500
Ina papu 3
Kuna ofisi ina ina fanyakazi ukiwa unakuja kwenda saiti eluf 50 piga simu ukiwa na mteja sio madalali bei bilioni 2bilion
Call:0752100022

29/05/2025
NYUMBA INAUZWA MILIONI 28CHANIKA ZINGIZIWA - 0717943807WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM ENEO: SQM 500 LESSEN YA S|MTAA PHON...
28/05/2025

NYUMBA INAUZWA MILIONI 28
CHANIKA ZINGIZIWA - 0717943807
WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM
ENEO: SQM 500 LESSEN YA S|MTAA
PHONE 0710013234 WHATSAPP
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
INAVYUMBA VITATU KIMOJA MASTER
SITING ROOM DINNING ROOM INAJIKO STORE
PUBLIC TOILET
UDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO

Call:0752100022

TUNAHUSIKA NA KUUZA - NYUMBA - VIWANJA DAR ES SALAAM

KARIBUNI OFISINI KWETU
CHANIKA MWISHO STAND
0710013234

NYUMBA INAUZWA IPO M BANDE MSONGOLA BEI ML 17 NYUMBA INA VYUMBA 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA MASTER SITING ROOM PUBLIC TOI...
28/05/2025

NYUMBA INAUZWA IPO M BANDE MSONGOLA BEI ML 17 NYUMBA INA VYUMBA 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA MASTER SITING ROOM PUBLIC TOILET JIKO MAJI UMEME
Call:0752100022

NYUMBA INAUZWA IPO KIGAMBONI BEI ML 50 NYUMBA INA VYUMBA 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA MASTER SITING ROOM DAINING ROOM PUBL...
28/05/2025

NYUMBA INAUZWA IPO KIGAMBONI BEI ML 50 NYUMBA INA VYUMBA 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA MASTER SITING ROOM DAINING ROOM PUBLIC TOILET JIKO MAJI UMEME NYUMBA IPO NDANI YA FENS
Call:0752100022

PLOTS KARISANA INAUZWA NA MWENYEWE IPO KIGAMBONI MIKWAMBE CHEKECHEA BEKARY NI MITA 500. TOKA LAMI KIPO TAMBALALE PLOTS I...
27/05/2025

PLOTS KARISANA INAUZWA NA MWENYEWE IPO KIGAMBONI MIKWAMBE CHEKECHEA BEKARY NI MITA 500. TOKA LAMI KIPO TAMBALALE PLOTS INATAZAMA ROAD YA MTAAAAA.

LOC : KIGAMBONI CHEKECHEA BEKARY.
AREA : SQMT 600
BLOCK: 12
PRICE : MIL 50.
UMILIKI: HATI MILIKI ( TITLE)

Call: 0752100022

Nb: Ukiipenda bidhaa hiii. Piga simu sms zinachelewesha

HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 30. HII HAIHUSISHI USAFIRI.

KIWANJA KINAUZWA KIZURI SANA KINAUZWA KIGAMBON KIBUGUMO SIMBA OIL LOC : KIGAMBONI KIBUGUMO AREA : SQMT 520.PRICE : MIL 3...
26/05/2025

KIWANJA KINAUZWA KIZURI SANA KINAUZWA KIGAMBON KIBUGUMO SIMBA OIL

LOC : KIGAMBONI KIBUGUMO
AREA : SQMT 520.
PRICE : MIL 35.
UMILIKI: HATI YA MAUZIANAO.

Call:

Nb: Ukiipenda bidhaa hiii. Piga simu sms zinachelewesha

HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 30. HII HAIHUSISHI USAFIRI.

Address

Sinza
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mcmdapo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share