Jege online tv

Jege online tv โšฝ Habari za michezo Tanzania & Dunia ๐ŸŒ
๐Ÿ“Š Uchambuzi wa soka kwa kina
๐Ÿ”ฅ Updates za haraka kila siku
๐Ÿ‘‰ FOLLOW uwe wa kwanza kupata habari

๐ŸŒ๐Ÿ”Šโ€ŽKikao cha Dharura: Sio Arsenal Pekee!โ€โ€ŽZamani ilikuwa ukiona wachezaji wa Arsenal wamejikusanya duara k**a wanafanya ...
04/05/2026

๐ŸŒ๐Ÿ”Šโ€ŽKikao cha Dharura: Sio Arsenal Pekee!โ€
โ€ŽZamani ilikuwa ukiona wachezaji wa Arsenal wamejikusanya duara k**a wanafanya ibada ya siri, ujue mambo yameenda kombo. Mashabiki
โ€Ž
โ€Ž walishazoeaโ€”โ€œah hawa tena wanajipa moyo baada ya kichapo.โ€
โ€ŽLakini ghafla leo, tunawaona na majirani zao Manchester City nao wameingia kwenye ile ile โ€œmode ya duara la huzuni.โ€ Sasa swali linabaki: nani kamfundisha nani? ๐Ÿค”
โ€Ž
โ€ŽCity walikuwa wanatufundisha mpira wa sayansi, pasi za calculator, sasa wameanza kozi ya โ€œkukaa chini na kujifariji baada ya presha.โ€ Hii si ile timu ya kuogopwa, hii ni timu ya kukaa kikao k**a wanafunzi waliokosa swali la bonus!
โ€Ž
โ€ŽInaonekana presha ya ligi imeamua kuwa sawa kwa woteโ€”leo ni wewe, kesho ni mimi. Tofauti ni kwamba Arsenal walikuwa wanalia kimya kimya, City wao wanalia huku wakishangaa โ€œhii imekuwaje?โ€ ๐Ÿ˜‚
โ€Ž
โ€ŽMwisho wa siku mpira una mambo yakeโ€ฆ lakini ukweli mchungu ni huu:
โ€ŽUkiona duara limeanza, ujue kichapo kiko karibu au kimeshapita! ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ”ฅ

Eric Jege

๐ŸŒ๐Ÿ”Š ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : Liga Portugal ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น SPORTING CP 5๏ธโƒฃโž–๏ธ1๏ธโƒฃ VITORIA DE MADRID โšฝ๏ธ 09" Inacio                    โšฝ๏ธ 85" Debast (o...
04/05/2026

๐ŸŒ๐Ÿ”Š ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : Liga Portugal ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น

SPORTING CP 5๏ธโƒฃโž–๏ธ1๏ธโƒฃ VITORIA DE MADRID
โšฝ๏ธ 09" Inacio โšฝ๏ธ 85" Debast (og)
โšฝ๏ธ 24" Braganca
โšฝ๏ธ 45" Araujo
โšฝ๏ธ 62" Suarez
โšฝ๏ธ 74" Luis

๐ŸŒ๐Ÿ”Š ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : La Liga ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ      SEVILLA FC 1๏ธโƒฃโž–๏ธ0๏ธโƒฃ REAL SOCIEDAD โšฝ๏ธ 50" Sanchez
04/05/2026

๐ŸŒ๐Ÿ”Š ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : La Liga ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ

SEVILLA FC 1๏ธโƒฃโž–๏ธ0๏ธโƒฃ REAL SOCIEDAD
โšฝ๏ธ 50" Sanchez

๐ŸŒ๐Ÿ”Š ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : Premier League ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟEVERTON F.C 3๏ธโƒฃโž–๏ธ3๏ธโƒฃ MANCHESTER CITY โšฝ๏ธ 68" Barry                    โšฝ๏ธ 43" Doku โšฝ๏ธ...
04/05/2026

๐ŸŒ๐Ÿ”Š ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : Premier League ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ

EVERTON F.C 3๏ธโƒฃโž–๏ธ3๏ธโƒฃ MANCHESTER CITY
โšฝ๏ธ 68" Barry โšฝ๏ธ 43" Doku
โšฝ๏ธ 73" O'Brien โšฝ๏ธ 83" Haaland
โšฝ๏ธ 81" Barry โšฝ๏ธ 90+6" Doku

๐ŸŒ๐Ÿ”Š ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : Serie A ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น      AS ROMA 4๏ธโƒฃโž–๏ธ0๏ธโƒฃ FIORENTINA FC โšฝ๏ธ13" Mancini โšฝ๏ธ 17" Wesley โšฝ๏ธ 34" Hermoso โšฝ๏ธ 58" Pisilli
04/05/2026

๐ŸŒ๐Ÿ”Š ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : Serie A ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น

AS ROMA 4๏ธโƒฃโž–๏ธ0๏ธโƒฃ FIORENTINA FC
โšฝ๏ธ13" Mancini
โšฝ๏ธ 17" Wesley
โšฝ๏ธ 34" Hermoso
โšฝ๏ธ 58" Pisilli

๐ŸŒ๐Ÿ”Š๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : Premier League ๐ŸดChelsea FC 1๏ธโƒฃโž–๏ธ3๏ธโƒฃ Nottingham Forest๐Ÿ”ฅ Mechi imeanza kwa kasi ya ajabu, Forest wakipiga ba...
04/05/2026

๐ŸŒ๐Ÿ”Š๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : Premier League ๐Ÿด
Chelsea FC 1๏ธโƒฃโž–๏ธ3๏ธโƒฃ Nottingham Forest

๐Ÿ”ฅ Mechi imeanza kwa kasi ya ajabu, Forest wakipiga bao mapema kabisa dakika ya 1 kupitia Awoniyi!
Chelsea wakajaribu kurudi lakini presha ilikuwa kubwa sana.

โšฝ Mabao:
๐Ÿ”น Awoniyi (1โ€™, 51โ€™) โ€“ Hatari tupu!
๐Ÿ”น Igor Jesus (15โ€™ pen)
๐Ÿ”น Palmer (45+9โ€™ pen)
๐Ÿ”น Joao Pedro (90+3โ€™)

๐Ÿ“Œ Chelsea walipata matumaini kidogo mwishoni, lakini ilikuwa tayari too late!
๐Ÿ˜ณ Forest leo wameonyesha kuwa hawatanani โ€” Stamford Bridge kimyaaa!

๐Ÿ’ฌ Maoni yako je, Chelsea wamepoteza mwelekeo au Forest wamekuwa moto kupita kiasi?

๐ŸŒ๐Ÿ”ŠLigi kuu ya soka ya NBC Tanzania bara imeendelea kutimua vumbi leo Mei 04, 2026 kwa michezo miwili ambapo kwenye mchez...
04/05/2026

๐ŸŒ๐Ÿ”ŠLigi kuu ya soka ya NBC Tanzania bara imeendelea kutimua vumbi leo Mei 04, 2026 kwa michezo miwili ambapo kwenye mchezo wa mapema, Wazee wa Mapigo na Mwendo, Mashujaa FC wamechokoza na ushindi wa 1-0 dhidi ya Wakusanya Kodi, TRA United katika dimba la Lake Tanganyika, Kigoma.

Kwingineko, Wanakoma Kumwanya, Mbeya City wameibuka ma ushindi wa 2-1 dhidi ya Wajelajela, Tanzania Prisons katika dimba la Sokoine, Mbeya kwenye Dabi ya Jiji la Mbeya.

FT: Mashujaa FC 1-0 TRA United
โšฝ 37' Ismail Mgunda

FT: TZ Prisons 1-2 Mbeya City
โšฝ 13' Emmanuel Martin
โšฝ 19' Eliud Ambokile
โšฝ 57' Marco Mhilu (OG)

โ€Ž
โ€Ž
โ€Ž๐Ÿ‘‰ Follow kuwa mwanafamilia ๐Ÿ”ฅ

๐ŸŒ๐Ÿ”ŠKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msiwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Magazeti y...
04/05/2026

๐ŸŒ๐Ÿ”ŠKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msiwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania (TSN) IGP Mstaafu Said Mwema na Mwanasoko Didier Drogba wakiwa bungeni kufuatilia Hotuba ya Waziri wa Habari leo.

Katika kikao cha leo, Mei 4, 2026, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, anawasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/27.

๐ŸŒ๐Ÿ”Š ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹ Bayern Munich imetangaza jezi zao mpya za Nyumbani za Msimu Ujao 2026-2027.๐Ÿ”ด
04/05/2026

๐ŸŒ๐Ÿ”Š ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹ Bayern Munich imetangaza jezi zao mpya za Nyumbani za Msimu Ujao 2026-2027.๐Ÿ”ด

๐ŸŒ๐Ÿ”Š๐…๐”๐‹๐‹  ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : La Liga ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ ESPANYOL UD 0๏ธโƒฃโž–๏ธ2๏ธโƒฃ REAL MADRID CF                                         โšฝ๏ธ 55" Vinicius Jr...
03/05/2026

๐ŸŒ๐Ÿ”Š๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : La Liga ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ

ESPANYOL UD 0๏ธโƒฃโž–๏ธ2๏ธโƒฃ REAL MADRID CF
โšฝ๏ธ 55" Vinicius Jr
โšฝ๏ธ 66" Vinicius Jr

๐ŸŒ๐Ÿ”Š ๐…๐”๐‹๐‹  ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : Ligue 1 ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ทOLYMPIQUE LYON 4๏ธโƒฃโž–๏ธ2๏ธโƒฃ STADE RENNES โšฝ๏ธ 37" Yeremchuk                   โšฝ๏ธ 06" Tamari โšฝ๏ธ 42" T...
03/05/2026

๐ŸŒ๐Ÿ”Š ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : Ligue 1 ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท

OLYMPIQUE LYON 4๏ธโƒฃโž–๏ธ2๏ธโƒฃ STADE RENNES
โšฝ๏ธ 37" Yeremchuk โšฝ๏ธ 06" Tamari
โšฝ๏ธ 42" Tolisso (p) โšฝ๏ธ 48" Lepaul
โšฝ๏ธ 52" Moreira
โšฝ๏ธ 75" Endrick

๐ŸŒ๐Ÿ”Š  Klabu ya Inter Milan imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Italia (Serie A) kwa mara ya 21 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Pa...
03/05/2026

๐ŸŒ๐Ÿ”Š Klabu ya Inter Milan imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Italia (Serie A) kwa mara ya 21 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Parma katika dimba la San Siro.

Inter imetwaa ubingwa huo baada ya kufikisha alama 82 ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo baada ya mechi 35 kwani hakuna timu itakayofikia idadi hiyo ya pointi kwenye michezo mitatu iliyosalia.

FT: Inter Milan 2-0 Parma
โšฝ 45+1โ€™ Thuram
โšฝ 80โ€™ Mkhitaryan

Address

Kashai
Bukoba

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jege online tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jege online tv:

Share

Category