Hamida Esports

Hamida Esports H sports lady

 : Ni magoli sita yamekaa kwenye nyavu za Mbeya City.FT: Yanga SC 6-0 Mbeya City Ilikuwa LIVE
16/04/2026

: Ni magoli sita yamekaa kwenye nyavu za Mbeya City.

FT: Yanga SC 6-0 Mbeya City

Ilikuwa LIVE

MSIMAMO: Makoti pekee yanatosha kuwasaidia wasipigwe na baridi kali kule kileleni…..????
16/04/2026

MSIMAMO: Makoti pekee yanatosha kuwasaidia wasipigwe na baridi kali kule kileleni…..????

FT’|   Young Africans SC 6 πŸ†š 0 Mbeya City
16/04/2026

FT’|

Young Africans SC 6 πŸ†š 0 Mbeya City


🚨_|| π—šπ—’π—’π—’π—”π—Ÿ...YOUNG AFRICANS SC 6οΈβƒ£βž–οΈ0️⃣ MBEYA CITY
16/04/2026

🚨_|| π—šπ—’π—’π—’π—”π—Ÿ...

YOUNG AFRICANS SC 6οΈβƒ£βž–οΈ0️⃣ MBEYA CITY

Mbeya city wakubari Tu kwamba wanacheza Na timu kubwa Wasi force kupishana wataumia Mexme this is football ⚽️  usijifnye...
16/04/2026

Mbeya city wakubari Tu kwamba wanacheza Na timu kubwa Wasi force kupishana wataumia
Mexme this is football ⚽️ usijifnye k**a huwajui wanainchiiiiiii
Cheza mpira k**a kocha mzoefuπŸ˜†

𝐇𝐓’|   Young Africans SC 5 πŸ†š 0 Mbeya City
16/04/2026

𝐇𝐓’|

Young Africans SC 5 πŸ†š 0 Mbeya City


  Yamal
16/04/2026

Yamal

🚨_|| π—π—˜ π—¨π—Ÿπ—œπ—π—¨π—” π—›π—œπ—Ÿπ—œ? πŸ‡«πŸ‡·βœ¨βž‘οΈ Michael Olise alipitia akademi tatu kubwa kabla ya kujitangaza rasmi:β†’ Akademi ya Chelsea βœ…β†’ ...
16/04/2026

🚨_|| π—π—˜ π—¨π—Ÿπ—œπ—π—¨π—” π—›π—œπ—Ÿπ—œ? πŸ‡«πŸ‡·βœ¨

➑️ Michael Olise alipitia akademi tatu kubwa kabla ya kujitangaza rasmi:

β†’ Akademi ya Chelsea βœ…
β†’ Akademi ya Arsenal βœ…
β†’ Akademi ya Manchester City βœ…

➑️ Safari yake haikuwa ya kawaida lakini hatimaye alithibitisha uwezo wake! πŸ”₯

Siku Arteta akipata muda ajitokeze hadharani kumuomba radhi kila shabiki wa arsenal kwa dhambi ya kumuuza Thomas partey ...
16/04/2026

Siku Arteta akipata muda ajitokeze hadharani kumuomba radhi kila shabiki wa arsenal kwa dhambi ya kumuuza Thomas partey na kutuletea Zubimendi. Zubimendi ni mchezaji wa timu za madaraja ya kati. Hili nimeliandika mara nyingi na sijawahi kubadili msimamo. Arteta alimleta Zubimendi sababu ni mhispaniola mwenzake.

Bayern wana Olise, Kane na Wachezaji wengine wengi bora... ila katikati ya hao kuna huu Mwamba Joshua Kimmich πŸ”₯Kimmich n...
16/04/2026

Bayern wana Olise, Kane na Wachezaji wengine wengi bora... ila katikati ya hao kuna huu Mwamba Joshua Kimmich πŸ”₯

Kimmich ndio controller wa Bayern. Yeye ndie anae amua Bayern wacheze vipi, washambulie kwa haraka ama wadumuishe umiliki wa mpira kwa pasi fupifupi.

Huyu ni miongoni mwa viungo bora kwa sasaπŸ™Œ

Wanangu mnaomfananisha Olise na Lamine mnaangalia mpira kupitia nini?
16/04/2026

Wanangu mnaomfananisha Olise na Lamine mnaangalia mpira kupitia nini?

Address

157 MWANZA
Bariadi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hamida Esports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share