15/06/2026
Mkurugenzi Mtendaji wa TAHA, Dkt. Jacqueline Mkindi ameelezea kwa kina kuhusu Hortilogistica Africa 2026 na fursa mbalimbali za kilimo cha matunda na mboga mboga, kwenye mahojiano maalum ya dakika 45 na Jumatatu hii, Saa 3:00 Usiku.
๐
HortiLogistica Africa inakuja โ 8โ10 Novemba 2026, Ngurdoto Mountain Lodge, Arusha.
Jisajili sasa: www.hortilogisticaafrica.com