16/01/2026
kuna watu humu duniani .... hawajai juwa wanaeza fanya nini kado na Elimu, ndio maana wakishaatoka shuleni wanakuja kuangaikia mtaani, wanadhani ukimaliza kusoma unapata kaziiπ€£π€£π€£ .
Budaa huku njee pia kuna shulee.... sasa ukimalizana na hio shule yako njoo wakuonyeshe shule ya maisha .... sii kuongelelea wengine ufala . πββοΈ
New mix loading mtegeee leo jioni..