Paparazzi wa Sud Kivu

Paparazzi wa Sud Kivu Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de Paparazzi wa Sud Kivu, Bukavu.

Kwenye Ku pekuwa mambo yetu POA poa tume kutana na Mr Champagne mwenye Aki Posté iyo picha naku sema Siyo yeye kwanza na...
04/04/2023

Kwenye Ku pekuwa mambo yetu POA poa tume kutana na Mr Champagne mwenye Aki Posté iyo picha naku sema Siyo yeye kwanza na Izo nguo ahana nazo Jamani!!! Minataka kumu leteya Mcongo Burundi wa watu ugonvi na Makonde!? Daah!!!

ila Mr Champagne na wewe ni muoga sana una tishika na Nini ijapo Konde Alisha achana na Kajala na tunavio juwa kwa sasa wewe ndo una Miliki iyo Shepu!?🤣🤣🤣🤣 ila Siyo poa Ku Édit vitu

Wa sanii Ma Hafuru kwenye Muji wa Uvira wa patwa na Ajali Barabarani mukiwemo Msanii Mkubwa Wa Rap apo UVA Mwenyekiti Ki...
03/04/2023

Wa sanii Ma Hafuru kwenye Muji wa Uvira wa patwa na Ajali Barabarani mukiwemo Msanii Mkubwa Wa Rap apo UVA Mwenyekiti King Knife na mwenziye Dels Alfred

Sasa Awa watu wali kuwa waki ji endesha Ama wali kuwa wana endeswa!?

Towa mahoni yako

Abari ziko nyingi sana Leo tupo Nord Kivu wangueeeh! Kazi Moja kubwa sana Kutoka kwake Vicky Ym aki Mshirikisha P Son Zu...
02/04/2023

Abari ziko nyingi sana Leo tupo Nord Kivu wangueeeh! Kazi Moja kubwa sana Kutoka kwake Vicky Ym aki Mshirikisha P Son Zuba Boy Yani ni Kinshasa mpaka Goma

Kazi Kubwa sana toka kwa Yaga usi kubali uambiliwe izo ndo Kazi tunazo zitaka kwawa Sanii wetu wa East Ku Shirikishana kwenye ma kazi

Big Up sana Ym

Bien bien Vraiment
02/04/2023

Bien bien Vraiment

Le labelNew School Bukavu prétend à envoyer son artiste Mak Ford au plus t**d le 05 de ce mois au Burundi pour finaliser avec des collabos pour son Ep qui arrive soon.
Voici les artistes qui vont figurer dans son album qui reste jusque là inédit.
1)Afande Ready Afra
2) # achillian
3) Sisco Raggar
4) # coby London

Retenons que tous ses artistes vont se retrouver au Bujumbura pour c'est même projet.

02/04/2023

Wasanii wa wili Maharufu kwa jina laki Afande Mjini Bukavu Léo tume bahatika kuwaona waki Changiya Podium Moja naku imba Nyimbo Moja je! Ni Nyimbo ya Nani iyo Kati ya Awa Ma Afande wa Wili Pako Afande Ready na Afande Thor wote wana ichanga niya Nyimbo Moja kwa Ujumna tupe maoni Yako uki sikiliza Nyimbo vizuri Na tusi sahau yakwamba wote wana sauti Moja k**a auja wai kumu sikiya Afande Ready Link yake iyi apa👉https://youtu.be/PHoK98kADao
Na k**a auja wai kumu Sikiya Afande Thor Link yake iyo apo👉https://youtu.be/0_H_o38_5b8
Fwatiliya alafu utowe mahoni Yako🙏

Abari ndo iyo Macho yetu ipo wazi sana wa sanii Wakubwa sana Kutoka Mjini Uvira ambao wali kuwa awa Elewani kwa Muda Mre...
01/04/2023

Abari ndo iyo Macho yetu ipo wazi sana wa sanii Wakubwa sana Kutoka Mjini Uvira ambao wali kuwa awa Elewani kwa Muda Mrefu sana Leo wame angukiya kwenye ma patano na kinacho wa fanya wa kutane naku Patana ni Nyimbo ambayo wame kwenda kuimba wote wa wili kwa Papa j ni kitu iko Soon tuna isubiri kwa hamu sana sasa ulizo ni Moja je! Ali mshirikisha mwenziye ni Nani!? 🤐🤐🤐🤐🤐🤐Mimi sijuwi je wewe una juwa aliye mushikikisha mwenziye ni nani!?

Katika pita pita zetu tume angukiya kwenye Picha iyi apa ya Wasanii wa wili ma Shubavu sana apa BukavuKar Dollars Afande...
31/03/2023

Katika pita pita zetu tume angukiya kwenye Picha iyi apa ya Wasanii wa wili ma Shubavu sana apa Bukavu
Kar Dollars
Afande Polis
Je! iyi picha ina usishwa na nini!? Wacha tukae kimia ila Masikiyo yetu ipo wazi kwaku Subiri Ku sikiya ndakuona kitu kutoka kwa Awa ma Best Rappeur wa wili

Mimi Sija ongeya mengi🤐

Ivi Awa wa jamaa ni kweli wana Mpambano!? Tuta kuwepo iyo Siku makini sana kwaku Peleleza Mshindi ni Nani kazi yao Afand...
30/03/2023

Ivi Awa wa jamaa ni kweli wana Mpambano!? Tuta kuwepo iyo Siku makini sana kwaku Peleleza Mshindi ni Nani kazi yao
Afande Thor vs Kar Dollars
El Shwelo vs Bar Man
Nani mukali
Kwaku Chaguwa Msanii umupendae na yule unae Mkubali ni 500fc Aseme uki kosa uta kuwa una koseya sana tena sana

Les Amis de panzi voici une bonne nouvelle pour vous.

28/03/2023

Abari iyooooo naona kina fulani nik**a Shobo zina taka ziwa Uwe 🤣

Afande Ready Mwana Mziki wa Kivu Kati ya Wale wanao onesha kipaji cha Kivu inje ya Kivu na ndani ya Kivu nazani ni yéyé ndo ânae peleka mziki wa Kivu mgongoni pake kwa sasa Akiwa najitokeya zake Goma kwakuja ku jibiya uvito wake wa Festival kunako Athène d'ibanda naona wajamaa k**a watatu ivi Kati Yako kuna Mtangazaji Rocky Fire Aliye wai kumu tukana Afande Ready kwenye Wimbo wake wa Ndoto na Afande Ready Aka murudishiya kinywa kimoja kibaya sana kwenye Wimbo wake Ma Swali nama jibu Aki mshirikisha 12 Boulé je! Izi furah wanazo nizaku toka moyoni Ama niza Usoni Usoni tuh! Link Zao izo apo apo chini k**a uli kuwa Bado auja sikiya izo Nyimbo Zao izi APA👇👇👇👇
Ndoto By Rocky Fire https://youtu.be/OiexyyfTgog
Maswali nama Jibu By Afande Ready https://youtu.be/EEA5zzz8zrY
Mengine sijuwi Mimi nawa achiya kesi yenu uko uko

Adresse

Bukavu

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Paparazzi wa Sud Kivu publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager