Kituo Cha Habari fizi DRC

Kituo Cha Habari fizi DRC habari motomoto ingia humu ndani utayapata

01/11/2021

mutahsari wa habari:
kulingana na mgomo baridi ulifanywa na waalimu kwa muda wa miezi miwili, inchini DRC
sasa masomo yamefunguliwa rasmi leo nchini

15/09/2021

watu wasio julikana juzi walivamia gereza moja nchini nigeria na kutorosha wafungwa zaidi ya 200, ila akuna kundi ambalo limesha toa tamko kulingana na uhalifu huo

15/09/2021

mutahsari wa habari
maandamano yaliyo itishwa na kiongozi wa chama LAMUKA, MARTIN Fayulu, yapamba moto mjini kinshasa inchini drc,
sababu ya maandamano hayo, ni kwamba awapendi tume huru ya uchaguzi isimamiwe na watu wa serikali, wanapenda ihusishwe na viongozi wa kiraia,
mengi zaidi tufuatilie hapo kesho asubuhi

02/07/2021

najua ni mda kidogo, sijaonekana online, matatizo ni mengi, japo nimetulia ila mengi nimeyavumilia, Mungu atujalie tuhishi kwa amani

22/12/2020

Mungu ashushe baraka, kati yetu, maana tuko ukingoni wa mwaka 2020, tutakianeni mazuri wadau wetu

10/06/2020

Rais mstaafu wa burundi Pièrre nkurunziza amehaga dunia hapo jana, kwa mujibu wa msemaji wa serikali bw w***y nyamitwe, ameeleza kua kifo cha rais kimesababishwa na mshtuko wa moyo

27/05/2020

MUNGU nimuweza yote wadau wetu, vipi maeneo yenu hali ya hewa ikoje huko?

18/05/2020

ujambo mdau wetu wa kituo cha habari fizi drc,
tunakuletea machache kati ya mengi,
kumeripotiwa vifo ya watu takriban 25 maeneo ya ituri inchini drc katika shambulizi mbili tofauti, hapo jana,
inchini yemen imetangaza vifo ya watu 500 katika siku inne za hivi karibuni na virus vya corona kuzidi kuongezeka kwa kasi zaidi

17/10/2019

hujambo msikilizaji na msomaji wetu
popote ulipo swali la leo :
nini kifanyike ili kudumisha amani na usalama tarafani fizi?

14/07/2019

ya hivi punde
kambi ya nyarugusu, iliopo wilayani kasulu mkoani kigoma inchini yavamiwa na watu wasio julikana, milio ya risasi yaendeleaj kusikika tangu majira ya saa inne usiku majira ya tanzania, mpaka sasa yaendelea, kihini bado akijajulikakambi ya nyarugusu, iliopo wilayani kasulu mkoani kigoma inchini yavamiwa na watu wasio julikana, milio ya risasi yaendeleaj kusikika tangu majira ya saa inne usiku majira ya tanzania, mpaka sasa yaendelea, kihini bado akijajulikana,
kwa hayo na mengine mengi fuatilia post zetu hapo baadaye

03/06/2019

mwambao mwa ziwa wezi wenye kushikilia visu na siraha wapora machine tano ikiwemo namba (40 YAMAHA ) na namba (15 inne) kwenye vipe usiku wa manane kuamkia leo idjuma tatu ya leo tariki 3/06/2019 maji ya kihimino mwayenga, duru za habari maeneo hayo za eleza kua walikua wapatao watu watano, na mpaka sasa ahijajulikana kua ni akina nani walio tekeleza uporaji huo, kwa hayo na mengine mengi tuta wajuzeni kadri ya uchunguzi utakavyo fanyimwambao mwa ziwa wezi wenye kushikilia visu na siraha wapora machine tano ikiwemo namba (40 YAMAHA ) na namba (15 inne) kwenye vipe usiku wa manane kuamkia leo idjuma tatu ya leo tariki 3/06/2019 maji ya kihimino mwayenga, duru za habari maeneo hayo za eleza kua walikua wapatao watu watano, na mpaka sasa ahijajulikana kua ni akina nani walio tekeleza uporaji huo, kwa hayo na mengine mengi tuta wajuzeni kadri ya uchunguzi utakavyo fanyika

24/05/2019

mchezaji (gool keeper) wa zamani wa team ya taifa ya drc, leopard na club ya TP MAZEMBE alie pata kwenye uchaguzi wa ubunge wa taifa nchini drc, december 30/ 2018, ateuliwa na raisi Felix Tchisedi kua waziri wa michezo nchini nini mtazamo au maoni yako kuhusu uteuzi huo? je ataboresha tasnia ya soccer kwa sababu alikua mchezaji au? maoni yako tafadhali mwana kituo, (gool keeper) wa zamani wa team ya taifa ya drc, leopard na club ya TP MAZEMBE alie pata kwenye uchaguzi wa ubunge wa taifa nchini drc, december 30/ 2018, ateuliwa na raisi Felix Tchisedi kua waziri wa michezo nchini nini mtazamo au maoni yako kuhusu uteuzi huo? je ataboresha tasnia ya soccer kwa sababu alikua mchezaji au? maoni yako tafadhali mwana kituo,

Adresse

Baraka

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Kituo Cha Habari fizi DRC publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager